Ze General JF-Expert Member May 10, 2014 1,508 1,251 Jul 18, 2016 #3 hiz ratiba zipo kwenye nyumba nyingi, sema mabati yamefunika mengi ndan ya nyumba zetu..
CleverKING JF-Expert Member Apr 24, 2014 8,502 25,469 Jul 18, 2016 #4 asigwa said: View attachment 367252 Click to expand... Hahahaaa! Dah! Hapo itabidi mke avunje tu mkataba na ratiba yake
asigwa said: View attachment 367252 Click to expand... Hahahaaa! Dah! Hapo itabidi mke avunje tu mkataba na ratiba yake
MasterP. JF-Expert Member Jun 5, 2013 8,051 6,386 Jul 18, 2016 #5 Ze General said: hiz ratiba zipo kwenye nyumba nyingi, sema mabati yamefunika mengi ndan ya nyumba zetu.. Click to expand... .....hizi kuta nne za nyumba tunazoishi kwa kweli zinaficha mambo mengi sana we wacha tu...
Ze General said: hiz ratiba zipo kwenye nyumba nyingi, sema mabati yamefunika mengi ndan ya nyumba zetu.. Click to expand... .....hizi kuta nne za nyumba tunazoishi kwa kweli zinaficha mambo mengi sana we wacha tu...