Ratiba ya kufanya tendo la ndoa

Ratiba ya kufanya tendo la ndoa

Kupangiana ratiba ni ushamba, sipendi
 
Kabiiisaa! Yaani yuko njiani unamrushia kapiacha anarudi fasta, suruali inavuliwa mlangoni!!! [emoji12] [emoji12] [emoji12]


Au unampokea mlangoni na vitu viwili tu mwilini mwako. Glass ya kinywaji, and a lingerie.
 
Ukiwa kwenye ndoa ratiba pekee ni menstruation period, mmoja wapo akiwa anaumwa na mmoja akiwa safari...mbali na hayo sex can happen any time any place provided that there is privacy.
hakuna sex demu wangu anapenda kama akiwa anaanza period kwani damu inatoka nyingi na kuwahi kukata.usije mjaribisha demu wako utaona kero
 
Back
Top Bottom