manking
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 1,306
- 316
wengine hukutana wk ends tu ,siku nyingine ni kaz tu!
Umeonaeee! ratiba na njaa wapi na wapi, mm nafanya vibarua vya ujenzi wakati mwingine tunamilza kazi boss hajafik tunasubir tupew chetu(dayworker) narudi nyumbani saa 6 usiku natoka saa 11 asbh( usafri wa mbagala) ratiba ifuatwe na nani? hapa chakujali ni ratiba ya milo mitatu kwa siku mengine not reacheable try again leter.