Ratiba ya faragha chumbani

Ratiba ya faragha chumbani

Kama kuna mapenzi ya dhati, hata kama mnatoka kazini mmechoka kiasi gani!!!! Kama kuna mahusiano mazuri hakuna ratiba ya kufanya mapenzi, kama mmojawapo amechoka basi ni kazi kumliwaza mwenzie kwa maneno na huba tamu kumsaidia mwenzie apate hisia, mkisikilizana na kupendana kwa dhati mapenzi hayana ratiba, na kama kila jambo mwafanya pamoja basi hata wakati wa kuoga mwaweza maliza mambo huko bafuni. Na kama mmoja anachelewa kurudi basi anaporejea nyumbani unaamka, unampokea kwa huba, maji ya kuoga, anakula kisha mwajongea kitandani, hata mkilala mmekumbatiana kwa upendo ni zaidi ya hilo tendo la ndoa.

Natumai haya yote yatawezekana tu!
 
Sisi huwa tunafanya kila tunapojisikia...!!

aisee.....

treading.JPG
 
hebu nisaidie kuisoma hii picha.. ina maana siku za katikati ya wili/ mwezi mtu anaweza kuwa na hot date so ana-reserve kwa huyo date wake?

Hii ni kalenda ya mzunguko wa siku za mwanamke. Kuanzia siku ya kwanza unpoona damu (Wengi wanasema kuingia mwezini) siku ya 14 ni siku ambayo yai linapevuka na wanawake wengi huwa wanakuwa sana na hamu ya kufanya mapenzi. Hii siku ni siku ambayo ukifanya tu, na mimba inaingia hivyo uwe makini. Hata hivyo kumbuka kuwa mbegu za kiume zinaweza kukaa mpaka masaa 72 hivyo mimba inaweza ikaingia kama ukido kuanzia siku ya 12. Na kwasababu yai la kike linakaa masaa 48 pia ukifanya siku ya 15 na 16 nayo kitu kitaingia. Hivyo kama mnatafuta mtoto hizo ni siku nzuri. La hamtafuti mtoto hizo siku mkicheza mtumie kinga au awithraw kama anaweza. Siku zingine mnaweza mkacheza mnavyotaka ila kwa watu wasafi zile siku nne za mwezini hawafanyi. Hapa ni kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 tu.
 
Tendo la ndoa halina ratiba jombaa, ufanyaji wake unategemea hasa jinsi mnavyoishi!! Kama mnapendana, mnaelewana na mnapokuwa nyumbani mnaishi kimapenzi kweli (romantic) kama kuoga pamoja, kupika pamoja na vitu kama hivyo mtajikuta automatically mnalifanya mara kwa mara sababu ya ule ukaribu na kila mtu akafurahia sana!!

Ila kama mkirudi home kila mmoja na time yake mtajikuta mnakwenda kama kwa ratiba vile, siku tano hamjagusana na mkigusana leo mnakaa tena wiki so inakuwa kama karatiba fulani hivi.

Badilika ufaidi ndoa yako, amri zako kazini kwako nyumbani unakuwa mpolee na mkarimu kwa mwenza wako!!

Jamaa yangu ning'ate sikio hapo bold....Hivi kama unaishi na mupenzi wako kama wafanyavyo vijana wakiwa vyuoni kwenye magheto mtaani lile tendo la kuunganisha viungo vyao vya uzazi linaitwaje????? Maana hawa hawajaoana na kuna asilimia nyingi hawataoana kwani hapa wanasaidia kupunguza makali ya bumu tuuuuuuuuuuu.
 
Hii ni kalenda ya mzunguko wa siku za mwanamke. Kuanzia siku ya kwanza unpoona damu (Wengi wanasema kuingia mwezini) siku ya 14 ni siku ambayo yai linapevuka na wanawake wengi huwa wanakuwa sana na hamu ya kufanya mapenzi. Hii siku ni siku ambayo ukifanya tu, na mimba inaingia hivyo uwe makini. Hata hivyo kumbuka kuwa mbegu za kiume zinaweza kukaa mpaka masaa 72 hivyo mimba inaweza ikaingia kama ukido kuanzia siku ya 12. Na kwasababu yai la kike linakaa masaa 48 pia ukifanya siku ya 15 na 16 nayo kitu kitaingia. Hivyo kama mnatafuta mtoto hizo ni siku nzuri. La hamtafuti mtoto hizo siku mkicheza mtumie kinga au awithraw kama anaweza. Siku zingine mnaweza mkacheza mnavyotaka ila kwa watu wasafi zile siku nne za mwezini hawafanyi. Hapa ni kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 tu.

Hapo kwenye Bold, kwa kifupi siku nzuri ya faragha ya tendo kwa mwanamke ndo hiyo siku ya 14, ina maana wenzetu wana mzuka zaidi wa hamu siku moja tu ama!!!?
 
Kama sijakosea ni ngono! Maana tafsiri ya zinaa inanichanganya sana!!
 
hamna ratiba,isipokuwa tu kwa siku zile ambazo ke yupo siku zake.
 
Ukiona unapangiwa ratiba ujue kuna njema pembeni inakulia vyako....concluded!!!
 
Hapo kwenye Bold, kwa kifupi siku nzuri ya faragha ya tendo kwa mwanamke ndo hiyo siku ya 14, ina maana wenzetu wana mzuka zaidi wa hamu siku moja tu ama!!!?

Tendo la ndoa ni kwaajili ya kupata mtoto tu na sio starehe.
Ndio maana siku ya kupevuka yai mwanamke anakuwa na ham kubwa ya kimaumbile kufanya tendo.

Siku zingine ni just starehe tu.
 
Ita jina lolote lile ila wanachokifanya wote kinafanana. (wanatiana)

Havifanani kwa sababu kimoja kina baraka (kwa wanandoa) kingine hakina baraka!! Ni tofauti kubwa sana hiyo
 
Hii ni kalenda ya mzunguko wa siku za mwanamke. Kuanzia siku ya kwanza unpoona damu (Wengi wanasema kuingia mwezini) siku ya 14 ni siku ambayo yai linapevuka na wanawake wengi huwa wanakuwa sana na hamu ya kufanya mapenzi. Hii siku ni siku ambayo ukifanya tu, na mimba inaingia hivyo uwe makini. Hata hivyo kumbuka kuwa mbegu za kiume zinaweza kukaa mpaka masaa 72 hivyo mimba inaweza ikaingia kama ukido kuanzia siku ya 12. Na kwasababu yai la kike linakaa masaa 48 pia ukifanya siku ya 15 na 16 nayo kitu kitaingia. Hivyo kama mnatafuta mtoto hizo ni siku nzuri. La hamtafuti mtoto hizo siku mkicheza mtumie kinga au awithraw kama anaweza. Siku zingine mnaweza mkacheza mnavyotaka ila kwa watu wasafi zile siku nne za mwezini hawafanyi. Hapa ni kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 tu.

lkn kwny picha inaonyesha huyo bidada anafanya hizo siku tunazoziita za hatari... yani ana ratiba kama ya wanyama
 
Havifanani kwa sababu kimoja kina baraka (kwa wanandoa) kingine hakina baraka!! Ni tofauti kubwa sana hiyo

That is faith.........kama unaamini inakua hivyo.

Nnaimani ushawahi sikia hili neno "kubariki ndoa" je hawa wahusika walipokuwa kitandani walikuwa wanafanya tendo gani?
 
Tyta huwa unanifurahishaga kwa picha...
Mi nafkiri hii kitu haina ratiba coz hata ikiwepo itavurugika tu,cha muhimu ni kuridhika na kutochoshana
 
Last edited by a moderator:
inaonyesha kuwa siku hizo za kupata mimba ndo mdada anafurahia zaidi kuliko siku zingine ila inahitaji umakini sana. Kuna wadada wengine huwa wanaenjoy siku zote ila kuna wanaoona tofauti siku za kawaida na zile hot days. Kuna wengine huwa wanaachana na boy friend wao au waume kwa sababu tu siku ile hot jamaa kashindwa kumdo kisawasawa. Kuna wadada wengine huwa wanafanya tu siku hiyo na siku zingine kumpata mpaka ufanye kazi ya ziada.
 
Mleta mada km umenigusa mi na mwenzangu tendo landoa ni ratiba kwa mwezi mara2 alafu mbaya zaidi shoka moja mbuyu chini,basi majanga
 
Hakuna ratiba isipokuwa siku za hatari ni kuwa makini na kutofanya siku za hedhi
 
hisia za kimapenzi sidhani kama huwa zina ratiba!

otherwise ninyi kama mko bize sana na mambo yenu ya kiuchumi, muweke muda maalum wa kukutana...

lakini endapo mtakuwa free regularly, basi haina haja ya kuwekeana time limit....

sex anywhere as long as you dont disturb people or break national laws...
 
kwa wanaume mkitupangia siku za kula tunda ndo mnatuchochea tukale nje..
e.g unanipangia mara 2 kwa mwezi..that is 2/30 days
wakati nina uwezo wakupiga 20/30 days..((10 nimeziweka excluded kutokana na UEFA ..inakata mood so far..pumziko..umesafiri kidogo))
kwahiyo apo kama nimepangiwa mara 2..izo mara 18 atanisaidia nani??
ndo mana kidumu kinakuja apoo...vidumu 3...kila mmoja mara 6 kwa mwezi vinamalizia hesabu yetu:evil::evil::evil:
 
Back
Top Bottom