Ratiba hii ya chekechea imekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ratiba hii ya chekechea imekaaje?

Discussion in 'Jamii Photos' started by kiparah, Feb 10, 2011.

 1. k

  kiparah JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
 2. d

  dorry Senior Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  si unajua kitoto zaidi. Huwezi kumweka dogo chini kwa saa nzima,hiyo 30mins tu shughuli yake kubwa.
   
 3. doup

  doup JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  naona inalipa kabisa hiyo ratiba, inajali ubunifu zaidi na kugundua vipaji mapema
   
 4. RR

  RR JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Uko sahihi....shule ya aina hii inalenga zaidi kujifunza kwa wengine....mtoto mdogo kumfundisha sana darasani kwa muda mrefu ataanza kuchukia shule...
   
 5. g

  geophysics JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa chekechea iko sawa kabisa...ila inategemea ni chekechea ipi...maana kuna moja na mbili... Chekechea moja kucheza ni muhimu kuliko darasani... Unamfanya mtoto akue kiakili zaidi... Huwezi kumuweka darasani kama mtoto wa darasa la kwanza au chuo kikuu... NI CHEKECHEA!!!
   
 6. Omukuru

  Omukuru JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yeah, kwa chekechea hii ni sahihi kabisa, hasa kama watoto wameingia hapo kwa umri sahihi. Wapo wazazi wengine wanawachelewesha watoto na pengine hakuna ufuatiliaji wa karibu kwenye mipaka ya umri. Ila kama ni chekechea ninayoifahamu mimi ya miaka mitatu ni sawa kabisa. Kukaa darasani nusu saa inatosha na kuchosha kabisa.
   
 7. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  Hata mpaka 6 years ni sahihi; ingawainaongezeka kadri muda unavyosonga lakini under eight wote wanahitaji kujifunza kwa vitendo zaidi kuliko kukaririshwa mahesabu makubwa kuwafurahisheni wazazi!
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kilichonishangaza mimi ni kuwa kumbe watoto wetu wanashinda kutwa nzima kwa maziwa na uji tu! hakuna chakula cha mchana?
   
 9. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Yani hiyo kwa chekechea sawa kabisa maana wanaitaji kujifunza zaidi kwa vitendo kuliko darasani.mi mwanangu kama siku ya jumanne na ijumaa wao henda na nguo za michezo tu maana hawaingii darasani siku hiyo.
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  off course kwa chekechea iko poa muda kidogo kushika kalamu na daftari..them the rest ni kupiga uji na visheti ,,,then kucheza kujificha ficha ,,,wakitoka hapo kucheza draft ,,,wale watakaokuja kuwa wazee wa masauti ni kupiga nyimbo mwanzo mwisho then skulu basi wapi home...ushanifahamu
   
 11. Mazengo

  Mazengo Member

  #11
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  [​IMG]
   
 12. c

  chetuntu R I P

  #12
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Katika umri wa chekechea muda wa kuconcetrate darasan ni mdogo sana, muda mwingi huishia kufanya physical activities zinazotumia sana ubongo e.g. Kuchorachora, kupanga maumbo mbalimbali hii husaidia brain development. Kanuni za chekechea ni kumjenga mtoto kiakili na kiphysic. Hata primary colour zina maana eg yellow inareflect brain development, black ni nguvu(physical), blue ni utuliv na amani, nk.
   
 13. Mwadui

  Mwadui Senior Member

  #13
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sina la ziada
   
 14. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Chekechea ya kata hiyo, he he hee!
   
 15. SniperBoi

  SniperBoi JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2016
  Joined: Feb 3, 2016
  Messages: 1,116
  Likes Received: 1,092
  Trophy Points: 280
  ratiba za paka shumi hizo ni noma na huyo anaejifanya nunda njaa zake zinamponza
   
Loading...