Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,037
- 9,927
Kama bangi zinawatuma kufanya ibada ni bangi nzuriBangi mbaya sana
Sio kweli.Bangi mbaya sana
Bangi sio mbaya ila watumiaji ndio wabaya.Bangi mbaya sana
Sio kweli.
Bangi sio mbaya ila watumiaji ndio wabaya.
Naanza kupata picha wewe ni mtu wa aina gani .Bangi mbaya sana
Mbona umechelewa sana sasa...!!!Naanza kupata picha wewe ni mtu wa aina gani .
Sana!Bangi mbaya sana
kwamba afande sele ni mkuu sana katika imani ya marasta😅😅😅 mi nkua sijui kumbe rastafarai ni diniHio ibada bila Afande sele ni bure
Hawa mwenzao ni afande seleBangi mbaya sana
Ila kwako janaba bichi ndo zuriBangi mbaya sana
Ni mbaya kama huchanganyi na maganda ya vitunguu saumu na pilipili kichaa.Bangi mbaya sana
Mshana Jr kasema bangi mbaya, hajasema mbaya kwa nani? Hajasema mbaya kivipi, labda shina lake yeye ndio analiona baya? Labda ni mbaya kwa udongo wa mfinyanzi?Ila kwako janaba bichi ndo zuri
Si tulishakubaliana kuwa cha kuabudiwa ni bangi na mgomba?Uhuru Wa kuabudu, jah Rastafarian. Amani na upendo.
Sio kweli, na usipoteshe umma kwa uongo.Bangi mbaya sana