Ananiuliza umepata Demu, namwambia sina...
Anahisi ashaniona sehemu tatizo kansahau jina...
Unaitwa nani... "FID Q"
Unaishi wapi... "GETO"
Kazi yako ni ipi... "MZIKI" "Au sio"
Mdomo unakuwa mzito niongee kipi cha maana...
Kivipi nimkazie Jicho wakati Binti kasimama...
Au ujiko Mrembo ujiko vipi sitaki kujuana...
Na hivi usinizingue kihivyo mie simwachi huyu Kimwana...
Anaonesha, hana maringo lakini alishawahi kupima...
Ameshaathirika kimtindo Mchizi kipingamizi sina...
Yupo Shkoba yuko Sharo Tina Tina...
Yupo Fulu, hoi kama wasemavyo Watu wazima...