GE2025 Rasmi: Zitto Kabwe anapambana na CHADEMA, lakini Je, ataweza?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Zitto ni mtu wa maslahi binafsi a.k.a. dalali kama ilivyothibitishwa na baba Levo....Dini means very little to him na ndiyo unaona hata ndoa yake haikuwa ya kidini.....!
Uko sahhihi, but when it comes to resistance to my "friend" in SAW, then he will never side with my "Friend" in Christ
 
Kwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema

Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa wewe), Yaani Zitto akiwa Chadema rafiki yake alikuwa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM!

Mengi yalitokea lakini Hatimaye Chadema ikaishtukia kolabo yao, ikatimua Zitto na Wafuasi wake akiwemo Kitilla Mkumbo, Zitto akaingia kwenye chama alichokianzisha akiwa bado yuko Chadema kwa Msaada wa Kikwete na Watu wa serikali

Kipindi cha Kikwete kikaisha, Zitto akawa tena "Mpinzani" akaanza kupambana na ccm ya Magufuli, akafunguliwa hadi vijikesi uchwara, Watu wakaamini huyu sasa ni Mpinzani wa kweli.

Siku zote Mungu hamfichi Mnafiki, Rafiki wa Zitto Jakaya Kikwete amerudi tena"madarakani" Bwana Zitto ameungana naye tena kuwadanganya Wananchi.

Angalia Hoja za Chadema halafu angalia pia Majibu ya Zitto Kabwe ambaye anatajwa kama kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO Hapo Chini

View attachment 3399419

Ngoja Tuone Mwisho wake.
Hana huo muda

Jibu lake zuri sana

Ndumuz mmehamia Kwa Zitto sasa
 
ZITTO YUPO SAHIHI SANA, NA WANAOSUSIA UCHAGUZI PIA WAPO SAHIHI, wasishiriki uchaguzi mpaka miujiza ya reform wazotaka zitimie (NRNE), kuwa hai kwa street hadi 2030, bila ruzuku ni existential challenge :CaptFailFish:

View: https://www.youtube.com/shorts/kDBBB33mrp8?t=14&feature=share
 
Kwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema

Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa wewe), Yaani Zitto akiwa Chadema rafiki yake alikuwa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM!

Mengi yalitokea lakini Hatimaye Chadema ikaishtukia kolabo yao, ikatimua Zitto na Wafuasi wake akiwemo Kitilla Mkumbo, Zitto akaingia kwenye chama alichokianzisha akiwa bado yuko Chadema kwa Msaada wa Kikwete na Watu wa serikali

Kipindi cha Kikwete kikaisha, Zitto akawa tena "Mpinzani" akaanza kupambana na ccm ya Magufuli, akafunguliwa hadi vijikesi uchwara, Watu wakaamini huyu sasa ni Mpinzani wa kweli.

Siku zote Mungu hamfichi Mnafiki, Rafiki wa Zitto Jakaya Kikwete amerudi tena"madarakani" Bwana Zitto ameungana naye tena kuwadanganya Wananchi.

Angalia Hoja za Chadema halafu angalia pia Majibu ya Zitto Kabwe ambaye anatajwa kama kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO Hapo Chini

View attachment 3399419

Ngoja Tuone Mwisho wake.
Wapuuzi nyie, mnadhani watanzania wote ni Manyumbu kama nyie, Hamana uwezo wa kuzuwia uchaguzi huo ndio ukweli. Nyinyi wenyewe kutwa mnaoambana na ACT badala ya kueleza mtazuia vipi uchaguzi mmeamua kumshambulia Zitto, kwisha habari yenu. Kuchamba kwingi, DJ kawatelekeza na ujuaji wenu huo.
 
Zitto Kabwe ameshindwa kupambambana na UKURUTU usoni kwake,🤣🤣🤣 ataweza nini??

Ubunge hatashinda, kupambana na CHADEMA hataweza.

Zitto anza kwanza na UKURUTU kwenye uso wako!! Mengine yote yafuatie!!!🤣🤣🤣🤣
sasa nani mjanja aliyeko kwenye ligi uwanjani au anaye jibebisha kwa benchi mpaka mechi ya 2030 na blabla za NRNE?
 
Kwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema

Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa wewe), Yaani Zitto akiwa Chadema rafiki yake alikuwa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM!

Mengi yalitokea lakini Hatimaye Chadema ikaishtukia kolabo yao, ikatimua Zitto na Wafuasi wake akiwemo Kitilla Mkumbo, Zitto akaingia kwenye chama alichokianzisha akiwa bado yuko Chadema kwa Msaada wa Kikwete na Watu wa serikali

Kipindi cha Kikwete kikaisha, Zitto akawa tena "Mpinzani" akaanza kupambana na ccm ya Magufuli, akafunguliwa hadi vijikesi uchwara, Watu wakaamini huyu sasa ni Mpinzani wa kweli.

Siku zote Mungu hamfichi Mnafiki, Rafiki wa Zitto Jakaya Kikwete amerudi tena"madarakani" Bwana Zitto ameungana naye tena kuwadanganya Wananchi.

Angalia Hoja za Chadema halafu angalia pia Majibu ya Zitto Kabwe ambaye anatajwa kama kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO Hapo Chini

View attachment 3399419

Ngoja Tuone Mwisho wake.
Yeye ndiye takataka, hakuna upinzani hapo! Mamanina zake hao wabunge watatu atawato wapi? 2020 yeye mwenyewe alipigwa pale Kigoma mjini! Na safari hii anapigwa na li chawa li baba Levo!
 
Hii michadema ndo maana Mimi kwa Sasa naitambua kama mipumbavu tu.
Hii michadema inajidanganya sana eti bila chadema uchaguzi hauwezi kufanyika, kwisha habari yenu, wasalimieni CUF na TLP. eti chama kikuu cha upinzani, kikowapi? Tuliwaambia chadema ni mpango wa shetani.
 
Huwa akikaa kimya mnamuita CCM B,Dalali,Msaliti n.k.

Akianza kurusha mashambulizi mnakoleza wino.Kumbe huwa mnamchokoza ili mpate uhalali wa shutuma zenu.

Kama Lowassa alikuwa fisadi baadae mkakataa sio fisadi.Na Mbowe mliekuwa mnamuita Kamanda mkasema alikuwa anatumika na CCM.

Je tuwaamini lipi katika shutma zenu mnazotoa.Maana mnaonekana hamko sawa kwenye kutuhumu watu.

Na napenda kama una ushahidi wa picha au video ya usaliti wa Zitto ili namimi niunge mkono hoja za usaliti wake.
hawa wanataka HURUMA ya wananchi, mtu akitofautina nao ni msaliti, ndyo democrzy ya CDM hiyo, na zimwi la MTEI limeshawamaliza, FINITO CDM
 
Zitto Kabwe ameshindwa kupambambana na UKURUTU usoni kwake,🤣🤣🤣 ataweza nini??

Ubunge hatashinda, kupambana na CHADEMA hataweza.

Zitto anza kwanza na UKURUTU kwenye uso wako!! Mengine yote yafuatie!!!🤣🤣🤣🤣
Hiyo Chadema iko wapi, Chama kiko ICU hakuna uwezo hata wa kujikuna, kwisha habari yenu wasalimieni CUF na TLP.
 
Kati ya Zitto na Chadema nani yupo bzy kumuandama mwenzake? CHawa wa CHadema na viongozi wao kila siku wao Zitto hivi Zitto vile.
 
1752069037724.jpeg
 
Wapuuzi nyie, mnadhani watanzania wote ni Manyumbu kama nyie, Hamana uwezo wa kuzuwia uchaguzi huo ndio ukweli. Nyinyi wenyewe kutwa mnaoambana na ACT badala ya kueleza mtazuia vipi uchaguzi mmeamua kumshambulia Zitto, kwisha habari yenu. Kuchamba kwingi, DJ kawatelekeza na ujuaji wenu huo.
Mbona hamkulifunga Bunge rasimi iletarehe 27/6 mnavizia nini
 
hawa wanataka HURUMA ya wananchi, mtu akitofautina nao ni msaliti, ndyo democrzy ya CDM hiyo, na zimwi la MTEI limeshawamaliza, FINITO CDM
Kwao demokrasia ni kukubaliana na kila wanachoamini wao ukiwapinga tu basi wanakuona unatumika na CCM.

Kiukweli CDM ina watu wengi sana wana uwezo mdogo wakujenga hoja.

Na kama wanabisha waiweke hiyo hiyo mada ya NO REFORMS NO ELECTION tuchague upande wakutetea.

Tubishane kwa hoja na sio matusi ili tuone kina nani kichwani ni box.

Ambacho nilichogundua ishu ya NRNE anaeielewa zaidi ni LISSU na wengi wanaoifata hawaielewi vizuri zaidi ya kuunga tu mkono.

Lissu alisema wanaoamini kwamba CCM watakuwa malaika basi wanawatakia kilq la heri.Hakuwabagaza lakini sasa hawa wafuasi ndio matusi mtindo mmoja.
 
Kati ya Zitto na Chadema nani yupo bzy kumuandama mwenzake? CHawa wa CHadema na viongozi wao kila siku wao Zitto hivi Zitto vile.
Wamesahau kuwa mjadala wowote unaohusu siasa lazima wamtaje Zitto.

Lakini yeye akiwataja anaonekana msaliti na mdini.
 
Kama Reforms zikifanyika Zotto ataugua kisukari

Zitto maombi yake makubwa ni Chadema isiwepo kwenye kinyanganyiro Cha uchaguzi ili apate huruma ya lupewa vijimbo kadhaa
 
Back
Top Bottom