Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 2,711
- 6,474
Fangasi za kwenye mbupu zomekutafuna mpaka ubongo, omba msaada ccm walusaidie kuzitibu hizo fangasiHii michadema ndo maana Mimi kwa Sasa naitambua kama mipumbavu tu.

Akili ndogo hujadili watu.Zitto Kabwe ameshindwa kupambambana na UKURUTU usoni kwake,🤣🤣🤣 ataweza nini??
Ubunge hatashinda, kupambana na CHADEMA hataweza.
Zitto anza kwanza na UKURUTU kwenye uso wako!! Mengine yote yafuatie!!!🤣🤣🤣🤣
Kama Reforms zikifanyika Zotto ataugua kisukari
Zitto maombi yake makubwa ni Chadema isiwepo kwenye kinyanganyiro Cha uchaguzi ili apate huruma ya lupewa vijimbo kadhaa
FINITO CDMWapuuzi nyie, mnadhani watanzania wote ni Manyumbu kama nyie, Hamana uwezo wa kuzuwia uchaguzi huo ndio ukweli. Nyinyi wenyewe kutwa mnaoambana na ACT badala ya kueleza mtazuia vipi uchaguzi mmeamua kumshambulia Zitto, kwisha habari yenu. Kuchamba kwingi, DJ kawatelekeza na ujuaji wenu huo.
ZITTO ni mmoja kati ya GENGE nyuma ya Samia Suluhu Hassan kubaki madarakani kwa nguvu. Hilo lipo wazi.Kwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema
Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa wewe), Yaani Zitto akiwa Chadema rafiki yake alikuwa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM!
Mengi yalitokea lakini Hatimaye Chadema ikaishtukia kolabo yao, ikatimua Zitto na Wafuasi wake akiwemo Kitilla Mkumbo, Zitto akaingia kwenye chama alichokianzisha akiwa bado yuko Chadema kwa Msaada wa Kikwete na Watu wa serikali
Kipindi cha Kikwete kikaisha, Zitto akawa tena "Mpinzani" akaanza kupambana na ccm ya Magufuli, akafunguliwa hadi vijikesi uchwara, Watu wakaamini huyu sasa ni Mpinzani wa kweli.
Siku zote Mungu hamfichi Mnafiki, Rafiki wa Zitto Jakaya Kikwete amerudi tena"madarakani" Bwana Zitto ameungana naye tena kuwadanganya Wananchi.
Angalia Hoja za Chadema halafu angalia pia Majibu ya Zitto Kabwe ambaye anatajwa kama kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO Hapo Chini
View attachment 3399419
Ngoja Tuone Mwisho wake.
Achaneni na Zitto, pambanieni chadema kiwe hai hadi 2030ZITTO ni mmoja kati ya GENGE nyuma ya Samia Suluhu Hassan kubaki madarakani kwa nguvu. Hilo lipo wazi.
Mbona mnayo hofu kubwa juu ya chama kilichopo "ICU"?Achaneni na Zitto, pambanieni chadema kiwe hai hadi 2030
View attachment 3399560
Chama kiko ICU nyie bado mnapambana na Zitto hiyo akili gani?
Hofu ya nini, na kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa, endeleeni kudanganywa na mabeberu.Mbona mnayo hofu kubwa juu ya chama kilichopo "ICU"?
Hakuna mtu hatali kama zzito, zzito ni mdini sana.Kwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema
Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa wewe), Yaani Zitto akiwa Chadema rafiki yake alikuwa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM!
Mengi yalitokea lakini Hatimaye Chadema ikaishtukia kolabo yao, ikatimua Zitto na Wafuasi wake akiwemo Kitilla Mkumbo, Zitto akaingia kwenye chama alichokianzisha akiwa bado yuko Chadema kwa Msaada wa Kikwete na Watu wa serikali
Kipindi cha Kikwete kikaisha, Zitto akawa tena "Mpinzani" akaanza kupambana na ccm ya Magufuli, akafunguliwa hadi vijikesi uchwara, Watu wakaamini huyu sasa ni Mpinzani wa kweli.
Siku zote Mungu hamfichi Mnafiki, Rafiki wa Zitto Jakaya Kikwete amerudi tena"madarakani" Bwana Zitto ameungana naye tena kuwadanganya Wananchi.
Angalia Hoja za Chadema halafu angalia pia Majibu ya Zitto Kabwe ambaye anatajwa kama kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO Hapo Chini
View attachment 3399419
Ngoja Tuone Mwisho wake.
ACT wako vizuriKwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema
Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa wewe), Yaani Zitto akiwa Chadema rafiki yake alikuwa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM!
Mengi yalitokea lakini Hatimaye Chadema ikaishtukia kolabo yao, ikatimua Zitto na Wafuasi wake akiwemo Kitilla Mkumbo, Zitto akaingia kwenye chama alichokianzisha akiwa bado yuko Chadema kwa Msaada wa Kikwete na Watu wa serikali
Kipindi cha Kikwete kikaisha, Zitto akawa tena "Mpinzani" akaanza kupambana na ccm ya Magufuli, akafunguliwa hadi vijikesi uchwara, Watu wakaamini huyu sasa ni Mpinzani wa kweli.
Siku zote Mungu hamfichi Mnafiki, Rafiki wa Zitto Jakaya Kikwete amerudi tena"madarakani" Bwana Zitto ameungana naye tena kuwadanganya Wananchi.
Angalia Hoja za Chadema halafu angalia pia Majibu ya Zitto Kabwe ambaye anatajwa kama kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO Hapo Chini
View attachment 3399419
Ngoja Tuone Mwisho wake.
Unavyo jieleza hapa, ni wazi upeo wako ni mfinyu. Hao "mabeberu" unawaingiza humu kwa sababu zipi?Hofu ya nini, na kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa, endeleeni kudanganywa na mabeberu.
Mbona huongelei uhusiano wa maaskofu na cdm wakati Rais ni MuislamHuna hoja ya kuzungumza,umeona dini tu?
Ebu badilika
Intelligence lao😁Ndo think tank la chadema limeongea hapo lenyewe!!😂😂😂
AiseeeeeZipo kapewa ahadi na mwislamu mwenzie Samia na fedha za kamapeni
Hivi sio nyie ndo mnamwita sijui Mamluki, mara CCM B, mara anatumika nk. Sasa kelele za nini humu. Mnataka awaunge mkono CDM wakati mlishamwita CCM B?Kwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema
Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa wewe), Yaani Zitto akiwa Chadema rafiki yake alikuwa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM!
Mengi yalitokea lakini Hatimaye Chadema ikaishtukia kolabo yao, ikatimua Zitto na Wafuasi wake akiwemo Kitilla Mkumbo, Zitto akaingia kwenye chama alichokianzisha akiwa bado yuko Chadema kwa Msaada wa Kikwete na Watu wa serikali
Kipindi cha Kikwete kikaisha, Zitto akawa tena "Mpinzani" akaanza kupambana na ccm ya Magufuli, akafunguliwa hadi vijikesi uchwara, Watu wakaamini huyu sasa ni Mpinzani wa kweli.
Siku zote Mungu hamfichi Mnafiki, Rafiki wa Zitto Jakaya Kikwete amerudi tena"madarakani" Bwana Zitto ameungana naye tena kuwadanganya Wananchi.
Angalia Hoja za Chadema halafu angalia pia Majibu ya Zitto Kabwe ambaye anatajwa kama kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO Hapo Chini
View attachment 3399419
Ngoja Tuone Mwisho wake.
Fanyeni yenu mwacheni. Mkiona inawauma sana basi pambaneni nae. Mkitoka huko mkisikia CHAUMA nao wamefanya mkutano mtakuja hapa kulia tena. Kwani nyie ni nani mpk muwapangie vyama vingine namna ya kufanya siasa zao. Yaani mnaboa nyie utadhani ma last born kwa kulalamikaSoma andiko pale juu, mbona limejieleza tu kirahisi!
Hoja umeielewa?Hivi sio nyie ndo mnamwita sijui Mamluki, mara CCM B, mara anatumika nk. Sasa kelele za nini humu. Mnataka awaunge mkono CDM wakati mlishamwita CCM B?
Kila chama kijipambanie kivyake kwani wote wanachotafuta ni kula yao tu. So kila mmoja apambane kivyake
Hoja ni kwamba mnahangaika sana na Zitto na yeyote anayeenda tofauti na nyie. Mnataka wote tufikiri kwa akili zenu.Hoja umeielewa?