Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,306
- 271,570
Kwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema
Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa wewe), Yaani Zitto akiwa Chadema rafiki yake alikuwa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM!
Mengi yalitokea lakini Hatimaye Chadema ikaishtukia kolabo yao, ikatimua Zitto na Wafuasi wake akiwemo Kitilla Mkumbo, Zitto akaingia kwenye chama alichokianzisha akiwa bado yuko Chadema kwa Msaada wa Kikwete na Watu wa serikali
Kipindi cha Kikwete kikaisha, Zitto akawa tena "Mpinzani" akaanza kupambana na ccm ya Magufuli, akafunguliwa hadi vijikesi uchwara, Watu wakaamini huyu sasa ni Mpinzani wa kweli.
Siku zote Mungu hamfichi Mnafiki, Rafiki wa Zitto Jakaya Kikwete amerudi tena"madarakani" Bwana Zitto ameungana naye tena kuwadanganya Wananchi.
Angalia Hoja za Chadema halafu angalia pia Majibu ya Zitto Kabwe ambaye anatajwa kama kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO Hapo Chini
Ngoja Tuone Mwisho wake.