mabereng'ombe
Member
- Nov 22, 2013
- 70
- 18
Simba tatueni kwanza gogolo la mtoto wa mjini adeni lage ndiomtambe huko zanziba mnakwenda kuambulia kichapo tuu mmebahatisha bonanza la bia mnafikiri na hilobonanza la zanziba mtaliona timugani umeona inawenyeviti kumi tatueni kwanza hilo gogoro