Simba Watangaza maafa kombe la mapinduzi kuonyesha ukubwa wao.

Abby Uladu

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
2,031
4,236
Simba oyee!!! Oyeeeeeee!!!

Kutokana na mfululizo wa matokeo mabaya ya Simba ,benchi la ufundi na wachezaji wote kwa ujumla wametamba kuonyesha ukubwa wao katika mashindano ya kombe la mapinduzi (uliomezwa na Young Africans kwa sasa).

Katika kuhakikisha hilo kocha wa simba Benchika amezuia likizo zote za wachezaji wa simba.

Benchika akafika mbali zaidi kuwataka wachezaji wake wote mara tu watakapo pata nafasi za kucheza wahakikishe wanakamia vya kutosha mechi zote za michuano hiyo ili kupata ushindi.

Pia Benchika ameeleza wazi kuwa matumaini ya kupata kombe lolote msimu huu ni Mgumu mno kutokana na kuzidiwa ubora katika Kila idara na timu ya Young Africans(Timu ya wananchi), hivyo wapanie vya kutosha angarau wapate kombe.

Ikumbukwe Young Africans itawapa mapumziko wachezaji wake nyota,kujiandaa na michezo ya ligi kuu.

Nyongeza.

Simba mmefikia pabaya yaani ninyi wa kukamia kombe la mapinduzi?

Kikombe chenyewe thamani yake million 100 tu, mshahara wa miezi miwili ya Aziz Ki na paccome pale yanga.

Yaani mnaenda kuonyesha ukubwa wenu mapinduzi cup? Daah nimeumia mno.

Abby Uladu
Chambuzi genius
Mbezi beach finest
 
Hili kombe tunalitumia kujiimalisha ili Tuwe bora zaid huko kimataifa maana nyie utopolo malengo yenu ni kuishia makundi hivyo hamuoni umuhim wa haya mashindano so kaa kwakutulia.
 
Mtu yeyote akishindwa kukimbia hutembea. Hiyo ni nature ya maisha yetu.
 
Hili kombe tunalitumia kujiimalisha ili Tuwe bora zaid huko kimataifa maana nyie utopolo malengo yenu ni kuishia makundi hivyo hamuoni umuhim wa haya mashindano so kaa kwakutulia.
Ilikombe mlipaswa mpeleke timu B ila ndio hivyo mambo yamewaendea kombo there is no way.

Ila unachosema ni kweli
 
Back
Top Bottom