Doug Stamper
Senior Member
- Feb 25, 2014
- 150
- 222
Natoa Pendekezo kwa watanzania wote kuweka saini zao hapa kumshinikiza kiranja mkuu wetu JK kupeleka pendekezo bungeni la kuundwa kwa sheria ya kuwafunga maisha mashoga na wasagaji wote
Lengo ni kuwaunga mkono majirani zetu waganda dhidi ya mikono ya mafedhuli wa kizungu
WEKA SAINI KUMSHINIKIZA JK
MODERATORS mnaweza kuweka poll ili tupate idadi ya watu wanaounga mkono na wanaokataa ijulikane