Hahaahahaa mmoja yuko BoT....tena Senior kabisa....hivi sumaye ana watoto?
Ni ngumu, 2030 tu hapo iwapo 2025 tutavuka salama regime inaweza ikahama kabisa.Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake
Marafiki na familia sindikizaji
- Familia ya Samia
- Familia ya Kikwete
- Familia ya Mwinyi
Familia zilizoachwa za
- Familia ya Pinda
- Familia ya Lowassa
- Familia ya Magufuli
1. Familia ya Karume
2. Familia ya Nyerere
3. Familia ya Mkapa
4. Familia ya warioba, Salim, Sumaye na Msekwa
Wengine wote ni makapi na machawa ambao watakuwa wanasifia na kuunga mkono Royal family.
Piganieni Reforms zitawasaidia na nyie fikirieni !!!
Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake
Marafiki na familia sindikizaji
- Familia ya Samia
- Familia ya Kikwete
- Familia ya Mwinyi
Familia zilizoachwa za
- Familia ya Pinda
- Familia ya Lowassa
- Familia ya Magufuli
1. Familia ya Karume
2. Familia ya Nyerere
3. Familia ya Mkapa
4. Familia ya warioba, Salim, Sumaye na Msekwa
Wengine wote ni makapi na machawa ambao watakuwa wanasifia na kuunga mkono Royal family.
Piganieni Reforms zitawasaidia na nyie fikirieni !!!
Sijawahi kusikia watoto wake kweliHahaahahaa mmoja yuko BoT....tena Senior kabisa....
Ile familia wote wanapita bila kupingwa, Tsar JK ndiye mpangaji wa yote na hana haya sasa hapo unatemea nini zaidi familia teule kuwa kwenye usukani wakiwaburuza Wabongo.Daah! Riz1 kapita bila kupingwa CCM
Naona Erythrocyte ameanza kuchoka mmeibuka wengine. Haya, kila la heri!!Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake
Marafiki na familia sindikizaji
- Familia ya Samia
- Familia ya Kikwete
- Familia ya Mwinyi
Familia zilizoachwa za
- Familia ya Pinda
- Familia ya Lowassa
- Familia ya Magufuli
1. Familia ya Karume
2. Familia ya Nyerere
3. Familia ya Mkapa
4. Familia ya warioba, Salim, Sumaye na Msekwa
Wengine wote ni makapi na machawa ambao watakuwa wanasifia na kuunga mkono Royal family.
Piganieni Reforms zitawasaidia na nyie fikirieni !!!
Hili jambo la familia ya jk kupita bila kupingwa lina fikirisha sana kwa ulimwengu wa watu ambao wapo sensible kichwani.Ile familia wote wanapita bila kupingwa, Tsar JK ndiye mpangaji wa yote na hana haya sasa hapo unatemea nini zaidi familia teule kuwa kwenye usukani wakiwaburuza Wabongo.
Ameshawaambia muache kumuonea wivu mkewe, kwani jimbo kwake hana mpinzaniHili jambo la familia ya jk kupita bila kupingwa lina fikirisha sana kwa ulimwengu wa watu ambao wapo sensible kichwani.
Mungu hataruhusu, hivi nyie huwa mnamtumikia Mungu yupi, wa mizimu au huyu nimjuae atupae pumzi ya kumpumua , kama ni huyu nimjuae mbona hawapi yapi ya mbele ,Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake
Marafiki na familia sindikizaji
- Familia ya Samia
- Familia ya Kikwete
- Familia ya Mwinyi
Familia zilizoachwa za
- Familia ya Pinda
- Familia ya Lowassa
- Familia ya Magufuli
1. Familia ya Karume
2. Familia ya Nyerere
3. Familia ya Mkapa
4. Familia ya warioba, Salim, Sumaye na Msekwa
Wengine wote ni makapi na machawa ambao watakuwa wanasifia na kuunga mkono Royal family.
Piganieni Reforms zitawasaidia na nyie fikirieni !!!
SUmaye mwanaye yupo katokea jimbo la Hanangu anaitwa fred anapambana na mary naguRasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake