Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Msaada kudeposit exness mpesa... Nikichoose Vodafone what next maana sioni Vodacom na sipati muendelezo
 
Msaada depositing megapari wakuu
 

Attachments

  • Screenshot_20240909_181230_Megapari.jpg
    Screenshot_20240909_181230_Megapari.jpg
    493.5 KB · Views: 45
View attachment 2735231 hakuna kitu sikipend kama kupoteza mda ,
Nimeamua kuwa fundamental completely natrade once per day na natrade news tu, na natrade gold tu
Ni utoto na ujinga kusubir pips mia Siku tatu Wakati unaweza kutrade pips mia KWA dk 3
Pia kwa dakika 3 hizo unaweza ku blow profit uliyoijenga kwa siku tatu
 
Kwa Hali ya uchumi ilivyo pole sana kuacha forex. Binafsi nipo ktk hii industry Nina kama mwaka Ila naona mwanga.nilijifunza mwenyewe online sikuelewa sanaaa bahati nzuri kuna rafiki alilipia darasa la online nikawa nasoma nae😀 sehemu za live na akawa ananipa clip za mafunzo hapo ndo nikaanza ku trade mwenyewe hakuna kitu kimeniuma kama kuchelewa kujifunza na kuiamin forex kama unataka kuwa na uhakika na pesa ingia huku ukizingatia kila kitu unatoboa.
1. Elimu ya forex
2.mtaji
3.nidhamu
Binafsi mtaji nauweka hapo sabab bila mtaji mmmhhh utaifanya kwa stress sana na ku over trade hata mm ilinikost
Huwezi mwambia mtu ambae hana mtaji afuate risk management au asi revenge trade hatokuelewa.
Niwahusie tu vijana ingieni huku wengi wanapiga hela Ila hawajitangazi na hawataki kuonekana Wana trade cha kuzingatia unapoanza tu kuona faida igawe pesa anzisha kibiashara kila unapopata faida wekeza kwingine ili kama utachoma una source of income nyingine itaku fund capital
 
ivi ushawahi kujiuliza kwann watu wa forex hua hamnaga mafanikio but mna maelezo mengi ya kwann mnaweza kufanikiwa? kama hujawahi jiuliza iki kitu basi jibu lako ndo utupolo ulioandika!

- FACT 1: forex haiko MARKET doesnt exist but FOREX exists, forex ni KITENDO sio soko, hakunaga kitu kama forex market haipo na haiwezi kuepo! kirefu cha FOREX ni FOREIGN EXCHANGE kile kitendo ndo kinaitwa forex sasa na sio soko linaitwa forex, hilo halipo! pia hakuna mtu anaweza kuishi kwa forex hicho kitu hakipo, na hakuna anaeweza kuclaim amefanya ivo, we only have a bunch of liars wanaotaka kukamata watu kwamba inawezekana but in real hicho kitu hakipo

FACT 2: forex is based on what the central bank does kwa asilimia 99% na izo zingine 1% ni mchanganyiko wa funds kama hedge funds ama watu kadhaa wenye uwezo wa kiuchumi, everything apart from that is pure stupidity, central bank wanafanya forex ila sio kwa ajili ya kupata faida, wanafanya ivo kubalance mahesabu yao, mfano mwisho wa mwezi watanzania wamenunua sana nje basi mwisho wa mwezi itawabidi wabadili IOU kwenda cash kulipa madeni ya nje na sio kupata faida, ama wananchi wameuza sana nje basi itabidi wauze reserves zao za dola kwa nchi ingine wapate IOU ama TSH

FACT 3: forex isnt meant for earning na haihusiani na saikology, utateseka sana ukidhan ni saikology, forex haihusiani na charts, we have pairs kama KSHTSH, UGXTSH hazina traders wowote only central banks na znamove kwahio acha kujifanya unaelewa sana soko, pia all these markets are rigged and they arent as how you think, ingekua izi pairs znafuata fundamentals zote basi uchumi wa dunia unacollapse na inakua mwisho wa pairs, if KSHTZS ikijitegemea basi watanzania watajazana kununua ksh ili wabdilishe kwenda dola alafu wapate faida however this is a long story kukuelezea kwa sababu ulijazwa taarifa na broka kwamba unaweza kutoka ukasahau broka nae anakutegemea kiuchumi 😂 😂
Katika watu wote waliocomment wewe ndio kidogo hoja yako ina make sense.
Wengi wanacomment kwa kusema wanaifuatilia na kuisomea deeply kupata pesa lakini mwisho wa siku anakupa story za kuna watu wanapiga pesa ila sio yeye anayepiga pesa so evidence yake inakuwa invalid.
 
Back
Top Bottom