JoJiPoJi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2009
- 2,977
- 3,444
Kwa mara nyingine tunaelekea kuona zaidi ya watu 50,000 wanaenda kupoteza ajira baada ya serikali kupitia SUMATRA kutoa waraka wa kuzuia mizigo yote inayoingia bandarini kubaki hapo tofauti na awali ambapo mteja alikuwa anaweza kuamua container yake akaitolee Icd atakayochagua.
Waraka huo ambao umetolewa tarehe 10, 2016 unaelekeza amri hiyo imeanza kutekelezwa tangu tarehe 7/10/16.
Kwa uamuzi huo wa serikali maana yake sasa zile ICD zote zitabaki bila kazi na kupelekea wafanyakazi karibu wote kupoteza ajira.