GE2025 Rasmi Paul Makonda ni mrithi wa Mrisho Gambo Arusha mjini

GE2025 Rasmi Paul Makonda ni mrithi wa Mrisho Gambo Arusha mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Majizi ya Ccm yanatengenezeana mazingira, wapuuzi wengine ni Nyumbu wa Chadema wamesusia uchaguzi ila dakika zote wapo kwenye updates za Ccm na ndo wanaongoza kutafuta taarifa kwa hamu wajue mgombea gani kapita
 
Kaka HAPO KWENYE elimu FUTA kabisa, HAO wahaya na elimu Yao imebadilisha Nini huko wamekosa fikra kupindua MEZA umaskini ulio tamalaki, huoni ka unawaaibisha?

Kwishaaa
 
UUmeoNa wizara ya mambo ya ndan inamfaa maana Kuna watu inabiid wanyoooshwe Ili taifa lisonge mbele.
Ni likelly angeshinda yule mjuba, na huko kwenye kuunda serikali wampe wizara ya mambo ya ndani ya nchi ataimudu, ni mbabe
 
SAFI SANA MAKONDA VIJANA KAMA HAWA WAOPAMBANA BILA KUKATA TABIA WALA KUSIKILIZA MANENO YA WATU NAWAKUBALI SANA
 
Oyaa makonda ni chaliii ya araa kitambo xnaaa
Tulimdekerea Ile laana yaani aje kuleta maendeleo Kwa fwasi ya dwasi
Yule ni mchugaaa acha lomoni nying
.
Hivi kwanini asingegombea huko usukumani kolomije? Kwamba ana uchungu sana na maendeleo ya wananchi wa Arusha mjini au Kigamboni kwa kipindi kile, kuliko Mwanza!?
 
Makonda kwenye kazi Yuko vizur na Jiji la arusha linataka mbunge kama makonda
Nakuunga mkono..hakika Ndugu Makonda atashinda saa mbili asubuhi.
Nimekaa Arusha muda wa kutosha kuifahamu vizuri.Arusha mjini Ina aina yake ya kui win.Kumbuka Mh Makongoro,Mh Mrema,Mh Lema,Mh Gambo,n.k...ongea lugha yao,tenda mambo kibiashara,watu wapige hela..unashinda mapema tu..yote haya kama uchaguzi utafanyika,basi Makonda ni next MP
 
Duh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom