Rasmi: Nahamisha makazi Dom naelekea Arusha

Rasmi: Nahamisha makazi Dom naelekea Arusha

Badilishaneni juu kwa juu kama ndege iliyojaa chandarua toka USA kuja Tz na ile iliyoelemewa dhahabu toka Tz kuelekea USA.
Daaah unaongea utasema mazuri lakini inauma sana nadhani rasilimali zinakuja kunufaisha wajukuu zetu ambao nadhani wanajielewa siku wakiikataa ccm na mambo yake yote
 
Huna kazi ya kufanya wewe, endelea kuzurura na nguo mbili kwenye rambo ukijifariji unahamishia makazi.

Hapa kazi tu. Ccm mbele kwa mbele.
Hahahaha mkuu huwezi kuamin lakini mimi na uhakika wa kukulisha wewe na familia yako ipo siku utanfaham
 
Kama hupendi utawala wa CCM bora tu uhame nchi kabisa mana hata huko Arusha iko chini ya utawala wa Magufuri.
 
Acheni fikra hasi na zakij..... Hizo.
Tatizo mnajiona kama watu special sana wakati hii nchi ni ya wote.

Miaka hamsini baada ya uhuru hao hao wasukuma unaowasema pamoja na wingi wao hakuna aliyeshika kuwa rais ama PM. Lakini nyie mnaojiita wakaskazini mlipewa wangapi.

Orodhesha makamishina na wakurugenzi wa nchi hii then compare wakaskazini ni wangapi vs nationalwide sehemu zingine unakuta bosi na msaidizi wake wote hukohuko mfano TANESCO lakini nani kalalamika.

Mstake kuamsha mambo ambayo watanzania hawana mpango nayo ila mmezidi.
Acha ukabila we kilaza.
 
Kama hupendi utawala wa CCM bora tu uhame nchi kabisa mana hata huko Arusha iko chini ya utawala wa Magufuri.
Sa si angalau kidogo hata meya anasimamia ukisanyaj wa mapato ya halmshaur yake vizuri kuliko Malham shauri mengine chini ya makada wa sisiem
 
je meya nae akitumbuliwa majipu kama yule wa kinondoni
Usijitoe ufahamu halmshaur chini ya ccm tunajua ufisad wake walivomaliza hii nchi
Bahat nzuri sisi wana UKAWA tutaanza kuyaamini mabadiliko chini ya magufuli endapo tu ataanza kushughulikia waizi wa ESCROW MEREMETA EPA bila kumsahau fisadi wetu mkuu LOWASA na lirichmond lake
 
Napata ukakasi kwako kama wew ukawa
 
Angalia wasikupokee vibaya na hiyo kauli yako ya mwisho Fisadi Lowasa na lirichomond lake
 
Angalia wasikupokee vibaya na hiyo kauli yako ya mwisho Fisadi Lowasa na lirichomond lake
Labda wasimfaham na aingie kimya kimya la sivyo watachoma moto kakijiwe chake cha mitumba ya baiskeli
 
Karibu Arusha jah mitazamo huku tumeanzisha jamhuri yetu baada ya kutengwa na serekali ya Dr Magufuli ambaye kajaza wasukuma katika kila wizara watu wa kaskazini tumekuwa kama raia wa Kenya ukiwa mkurugenzi wa shirika la umma kama umetokea kaskazini ni shida lazima uundiwe zengwe wakumwage mchana kweupe kwa kisingizio cha kutumbua majipu ukiwa msukuma hata kama kashfa ya Eskrow ulihusika lazima utapewa ulaji haraka kama Prof Muhongo na Maswi walivyopewa shavu huku wakiandamwa na kashfa kibao.

Muhongo ni MJITA na Maswi ni MKURYA,usukuma upo wapi hapo?
 
Napata ukakasi kwako kama wew ukawa
Naongea hivi ikiwa ni kauliya kijembe kwa serikali ya ccm... Nachomaanisha ni kuwa wametuaminisha kipindi cha uchaguzi kuwa Lowasa mwizi sasa tu nasubiria waanze kushughulikia naye lakini bado wanamletea mipasho hio inamanisha nini?
[QUOTE="UncleBen, post: 15105882, member: 255818"]Angalia wasikupokee vibaya na hiyo kauli yako ya mwisho Fisadi Lowasa na lirichomond lake[/QUOTE]
 
Angalizo kama umezoea frem za laki na laki na nusu huko dodoma, huku ni kuanzia laki tatu kwenda juu! Ila krb machinga wanajengewa shm maalum.
 
Karibu Arusha uje ufurahie maisha, watoto wanakimbia chakula hawaijui njaa, sio huko watotot wanakimbilia chakula midomo wazi, inasikitisha kweli.
 
Kanda ya ziwa muzeee au umesahau jinsi mlivyokuwa mnatumia karata ya Ukanda na sisi tunaanza kuitumia.
[
Hivi nyie mlitaka Mh Magufuli achague Wabunge wa Chadema kutoka Arusha ma Moshi ktk UWaziri au vipi?

Mlichochagua ndio mlichopata vumilieni.
 
[
Hivi nyie mlitaka Mh Magufuli achague Wabunge wa Chadema kutoka Arusha ma Moshi ktk UWaziri au vipi?

Mlichochagua ndio mlichopata vumilieni.

Makatibu wakuu ........
 
Back
Top Bottom