ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,501
- 51,145
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani nchi yangu iongozwe na upinzani kisiasa lakini hilo lilishindikana kutokana na ujinga ambao CCM imewajengea wananchi wengi na hasa wa vijijini hali iliyoifikia kuibuka washindi tena katika uchaguzi huu, huku ikiendelea kufanya maigizo(mabadiliko ambayo katu sitakuja kuyaamini chini ya CCM).
Hata hivyo bado nina nafasi pana ya kuridhisha moyo wangu japo kwa kuongozwa na halmshauri iliyo chini ya CHADEMA, halmshauri ya jiji la Arusha ambayo kwa taarifa za uhakika maendeleo yameanza kuonekana Baada ya Jana kutangaza kukusanya kodi mpaka imevuka lengo, kwa kweli Arusha ndio mkoa wa kuishi kwa sasa watu wanaojielewa naamini hata biashara zangu zitafanikiwa.
Mungu nijalie nitoke huu mkoa wa Dodoma niingie Arusha salama
Nitaanza safari Mwezi wa 3.
Wenyeji nikaribisheni.
Watu wa Arusha mjiandae kunipokea tufanye biashara pamoja. Nawakubali sana.