Expect unexpected,nilijua atarudi,ndio kwani kafanya mengi yenye kuonekana,nasema hivo Mimi mwananchi ninayeishi naye huyo mgombea aliyekatwa.
Amewakilisha wananchi vilivo,alisemea wananchi shida zetu akajenga hoja ameangukia pua,nahama kwenye siasa sitaki tena siasa za majimoto,husda,vihoja vilivo na hoja zenye vihoja,kwann akatwe mapema jamani,tena wawekwe watu wasiofahamika,hawana mchango unaoonekana hata kidogo,nahama kwenye siasa,ameweka alama ambayo haijathaminika.,kwani nini hiki jamani.
Zaidi ya miaka kumi kawa mwakilishi wa wananchi hata tatu Bora au list hayupo😆😭😭😏😏,nahama lipi lakufia kwa pressure
Majina yamewekwa mimi mpiga kura wengine siwajui,ni limitation ya kuchagua eti Popobawa apite,njia imelainishwa na vilainishi Ili Popobawa asipate kikwazo,mnamjua Popobawa nyie,sitaki siasa nahama kwenda mlengo mwingine
Alisaidia wapiga kura wake kwani nani kamkata,misiba,harusi shida na raha alikuwepo,nani kamkata huko majina yalipotokea.
Hivi wapiga kura wake walishirikishwa au wajumbe wenye malengo binafsi,nahama siasa sitaki siasa
Mjeledi eti ndio mgombea niliyeletewa,nani kawaambia?,huku watu wanaulizana huyu naye nani,nahama siasa sitaki siasa.
Nashindwa kuendelea kuandika pressure ipo juu,siasa jamani siasa heri kilimo kikumbwe na ukame,tumaini la wengi linaweza kugeuzwa na tumaini la wachache-Nahama siasa sitaki tena siasa
Watu wanasaga nyama kwa meno wengine wanalia na kusaga meno kwa meno😆😆
Watu wameliwa vichwa,wengine wamenyonywa vichwa😆😆