HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,317
- 103,576
Mimi mwaka wa 6 huu na sitaacha hadi nife maana maisha yenyewe kamari
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa mkuu life lenyewe kamariMimi mwaka wa 6 huu na sitaacha hadi nife maana maisha yenyewe kamari
Sent using Jamii Forums mobile app
duuh mechi za leo zimechanika ******* yani huko England mambo si shwari timu ndogo zimewakazia wakubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ushabiki wangu wa mpira,betting sijawahi kabisa jaribu.Gambling is a hell of a drug...unaambiwa hata kokeini cha mtoto...[emoji16][emoji16][emoji16]