Mmh yaani siku zote hizo ulikuwa hujui kama mkeo ni member wa humu..basi ndoa yenu haina mvuto..mna usiri sana..teh teh teh!
Haa haa haaa! Msifahamishane ID zenu, isije ikaleta matatizo katika ndoa, maana kila mmoja akifuatilia mabandiko ya mwenzake huenda nyumbani hapatatosha.
anakaribishwa sana jamvini......hata mimi nilipata idea kwa Paco ndio maana nikajiunga.....karibu sana Mrs NYU
Mbona umenikimbia kule kwenye ile thread?
hee shem kumbe bado upo, kuna kathread ka pape nimekuona umeaga .....nilikuwa nafanya mpango wa kupata bata ndio nashughulikia mpaka sasa
Ha ha haa ungeniuliza ni Ndiyo ya Muda gani ndiyo hiyo hoja yako ya Siku zote ingekuwa na Mashiko. Nimefurahi kwa Sababu JF inatoa Ilimu Murua kabisa sasa ni vizuri Familia nzima ikapata Ilimu hiyo
Njoo kule bwana huwezi jua waweza nipatia vitamu!
wapi sasa kwa Pape au kwa mchumba?
Kule kwa mchumba....kwa pape hapana duuuu is not healthy at this time!
wacha tuendelee kesho na nitakuwa nimeshampata huyo bata......tutaendelea na pishi la bata taarisha viungo
Ha ha haa ungeniuliza ni Ndiyo ya Muda gani ndiyo hiyo hoja yako ya Siku zote ingekuwa na Mashiko. Nimefurahi kwa Sababu JF inatoa Ilimu Murua kabisa sasa ni vizuri Familia nzima ikapata Ilimu hiyo