Rasmi: Mama Ndege ni Member wa JF

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Jana nilikuwa naongea na Mama NYU ( Ndege ya Uchumi) akafungua net akawa anacheki JF, nikamuuliza vipi na wewe ni Member? Akaniambia ni Member wa JF, nikamuuliza anawafahamu member wapi through michango yao akasema anawafahamu Preta, FirstLady1 na wngine wenye majina ya Kike!

Hongera sana mama NYU mimi mumeo ni Member na Ninakupenda sana
 
Haa haa haaa! Msifahamishane ID zenu, isije ikaleta matatizo katika ndoa, maana kila mmoja akifuatilia mabandiko ya mwenzake huenda nyumbani hapatatosha.
 
Mmh yaani siku zote hizo ulikuwa hujui kama mkeo ni member wa humu..basi ndoa yenu haina mvuto..mna usiri sana..teh teh teh!
 
Mmh yaani siku zote hizo ulikuwa hujui kama mkeo ni member wa humu..basi ndoa yenu haina mvuto..mna usiri sana..teh teh teh!

Ha ha haa ungeniuliza ni Ndiyo ya Muda gani ndiyo hiyo hoja yako ya Siku zote ingekuwa na Mashiko. Nimefurahi kwa Sababu JF inatoa Ilimu Murua kabisa sasa ni vizuri Familia nzima ikapata Ilimu hiyo
 
Haa haa haaa! Msifahamishane ID zenu, isije ikaleta matatizo katika ndoa, maana kila mmoja akifuatilia mabandiko ya mwenzake huenda nyumbani hapatatosha.

Mkuu ndio maana sikuweka Ushawishi wa Kubadilishana ID kila mtu na yake ili kuwe na Uhuru wa Kuchangia
 
anakaribishwa sana jamvini......hata mimi nilipata idea kwa Paco ndio maana nikajiunga.....karibu sana Mrs NYU
 
hee shem kumbe bado upo, kuna kathread ka pape nimekuona umeaga .....nilikuwa nafanya mpango wa kupata bata ndio nashughulikia mpaka sasa

Njoo kule bwana huwezi jua waweza nipatia vitamu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom