RASMI: majina ya walimu ajira mpya April 2019

RASMI: majina ya walimu ajira mpya April 2019

Sasa tangazo la ajira kwa nini liliwataka hata waalim wa Arts shahada watume maombi?

Kuna jamaa yangu alimaliza 2016 ila hakuwa amechukua cheti so ikamtoka laki nzima ya ghafla kufuata chet chuon.
 
Kiswahili, history ,English wamepigwa chini kabisa
 
Sasa tangazo la ajira kwa nini liliwataka hata waalim wa Arts shahada watume maombi?

Kuna jamaa yangu alimaliza 2016 ila hakuwa amechukua cheti so ikamtoka laki nzima ya ghafla kufuata chet chuon.
Katika mambo ya kushangaza hili pia linashangaza
 
Tangazo pia liligusia waalim wenye mahitaji maalum. Kwenye ajira hizi siwaoni je wenye mahitaji maalum wote walisoma science?
 
Tupo katika wakati mgumu sana arts kuna haja ya kuitafakari kwa kina zaidi hii serikali , upinzani siyo chadema wala cuf kwa haya mnayoyafanya kuna kitu mnatangeneza kwenye mioyo ya watu.
True maana sio kwa huu ubaguzi. Kila mwaka science. Art wanasota mtaani
 
Wabadilishe mfumo wafundishe science tuu mana arts aina umuhimu tena...
 
Back
Top Bottom