Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 578
- 2,614
Wachambuzi uchwara watakuja na sababu nyingine hapa
Bongo Raha Sana watu wanapenda kudandia mambo.
Angalia issue ya Mgunda na hii ndio utaipata jibu kwamba tuna wachambuzi wa hovyo Sana.
Ushauri wachambuzi wa mpira waache kuchukua bahasha za simba ya yanga.
Haya wale wachambuzi uchwara njooni hapa tuchambue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tifuatifua mwisho wameamua kusalim amri!!!.
Karia na Tff yake ni wapumbavu na wasio na maono ya mpira!!. Aibu yaoooooo
Jemedali said upo 😂Kisinda ni Kweli alizuiliwa. Kama Yanga Wasinge Fanya Jitihada za Kumtema Huyo Mchezaji wao, Kisinda Asinge Cheza
Kosa La Waandishi Liko wapi?
Aliyezuia kisinda kucheza!! Km kambole alishahamishwa kucheza ligi ya ndani kwanini usajili wa kisinda uwe shida?.Ni nani Aliye amua Kusalimu Amri Yanga au TFF? Mashabiki wa Yanga Mna Shida Gani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa taarifa za ndani Yanga walishafanya kila jambo ila katibu mkuu alitoa jibu kabla hata ya kamati kukaa.Kisinda ni Kweli alizuiliwa. Kama Yanga Wasinge Fanya Jitihada za Kumtema Huyo Mchezaji wao, Kisinda Asinge Cheza
Kosa La Waandishi Liko wapi?
Aliyezuia kisinda kucheza!! Km kambole alishahamishwa kucheza ligi ya ndani kwanini usajili wa kisinda uwe shida?.
Kosa ni pale wanapohitimisha suala wakati bado mchakato unaendeleaKisinda ni Kweli alizuiliwa. Kama Yanga Wasinge Fanya Jitihada za Kumtema Huyo Mchezaji wao, Kisinda Asinge Cheza
Kosa La Waandishi Liko wapi?
Kwa taarifa za ndani Yanga walishafanya kila jambo ila katibu mkuu alitoa jibu kabla hata ya kamati kukaa.
Kosa ni pale wanapohitimisha suala wakati bado mchakato unaendelea
Kwahiyo utaratibu wakuingiza mchezaji acheze NBC ni muda wowote hata dirisha linapofungwa?. Kama kisinda anaonesha hajasajiliwa ndani ya muda hiyo nguvu yakupokea uhamisho wa kambole na ku-mreplace na kisinda wameitoa wapi?Uhamisho wa Kambole Umekamilika Lini?
Hivi timu haiwezi kumuacha mchezaji na kumsajili mwingine paka mchezaji aliyeachwa apate timu nyingine??? Hii imekaaje wataalamuKambole Alikuwa Hajapata Timu, Kitu kilicho Fanya Yanga Kuendelea Kusomeka Kuwa na Wachezaji 12 wa Kigeni. Na Mwanzo Yanga Hawakuwa katika Mpango wa Kuachana Na Kambole. Mpango wa Kuachana na Kambole Umekuja Baada Ya TFF kuwashauri kuwa Waachane na Mchezaji Mmoja Ndio Yanga Wakaona Wamtoe Kafala Kambole. TFF isingeweza Kubariki Uhamisho wa Kisinda wakati KAMBOLE HAJAPATA timu.