Staili ya mazingira ya ushindi wa Dkt Shein na kile kinachoelekea kufuata katika utawala wake, vinashabihiana sana enzi za utawala wa Dkt Salim Amour.
Enzi zile za Ungangari, Uhasama, Chuki na Ukomandoo vilivyotawala sana enzi za Dkt Salimin vina kila dalili ya kurejea katika utawala huu wa Shein.
Kwa vyovyote tutarajie AMA, Utawala wa Kikomandoo na mipasho kama wa Dkt Salimin kurejea, AMA Utegemezi mkubwa wa utawala Dkt Shein kwa Serikali ya Muungano (JPM), ili kuwezesha kutawala kwa utawala wa Shein.
Yote kwa yote;
Je, Dkt Shein ataweza kuvaa viatu vya Dkt Salim Amour?!