Malaya itakuwa wazee wako,mtoto wa haramu lazima atafanya uharamu wake kama wewe, unaposema zanzibar ni malaya unatutukana wazanzibari tafadhali rekebisha kauli zako, lete hoja.sijawahi kuona nchi yenye maraisi watano bali inataka kutokea tanzania. Yaani Tanganyika ni sawa na mwanaume ----- anayesumbuliwa na mwanamke malaya ambaye ni Zanzibar. Hivi Zanzibar inabembelezwa nini mpaka yenyewe iitwe Zanzibar na sisi huku tusiitwe Tanganyika na tuitwe Tanzania Bara
sijawahi kuona nchi yenye maraisi watano bali inataka kutokea tanzania. Yaani Tanganyika ni sawa na mwanaume ----- anayesumbuliwa na mwanamke malaya ambaye ni Zanzibar. Hivi Zanzibar inabembelezwa nini mpaka yenyewe iitwe Zanzibar na sisi huku tusiitwe Tanganyika na tuitwe Tanzania Bara
ukienda katika rasimu sura ya sita
57.-(1) jamhuri ya muungano itakuwa na muundo wa shirikisho lenye serikali tatu ambazo ni:
(a) serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania;
(b) serikali ya mapinduzi ya zanzibar; na
(c) serikali ya tanzania bara
uchambuzi
hapo katika serikali ya tanzania bara naona ni utata mkubwa, huu ni usanii,kwa nini watanganyika hamulitaki jina lenu la tanganyika, eti munaita tanzania bara, sasa vile visiwa vya mafia ni vya nani ?
munaposema tanzania bara, visiwa vya mafia munavitoa katika himaya yenu kama ni eneo la tanganyika, tunataka rasimu hii ifanyiwe marekebisho ,kila penye tanzania bara kuwe na tanganyika