Rasimu irudishwe ilikotoka

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,006
Ukienda katika rasimu sura ya sita

57
.-(1) Jamhuri ya Muungano itakuwa na muundo wa shirikisho lenye serikali tatu ambazo ni:

(a) Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;
(b) Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar; na
(c) Serikali ya Tanzania Bara


Uchambuzi

Hapo katika serikali ya tanzania bara naona ni utata mkubwa, huu ni usanii,kwa nini watanganyika hamulitaki jina lenu la Tanganyika, eti munaita tanzania bara, sasa vile visiwa vya mafia ni vya nani ?

Munaposema tanzania bara, visiwa vya mafia munavitoa katika himaya yenu kama ni eneo la tanganyika, tunataka rasimu hii ifanyiwe marekebisho ,kila penye tanzania bara kuwe na TANGANYIKA
 
sijawahi kuona nchi yenye maraisi watano bali inataka kutokea tanzania. Yaani Tanganyika ni sawa na mwanaume ----- anayesumbuliwa na mwanamke malaya ambaye ni Zanzibar. Hivi Zanzibar inabembelezwa nini mpaka yenyewe iitwe Zanzibar na sisi huku tusiitwe Tanganyika na tuitwe Tanzania Bara
 
20. ibara 113 out clause kuhusu uwepo wa muungano utaamuliwa kwa kura ya maoni
Hii ibara inaashiria kulikuwa na opt in clause ambayo ilitokana na kura ya maoni, kama hili halikufanyika waheshimiwa TUME si mufanye hilo kwanza? Ama mtueleze hili lilifanyika lini kwa upande wa wananchi either de facto ama de juro
Ninavyoelewa mimi hili la kura maoni kuulizwa wananchi kama wanautuaka huu muungano hawajaulizwa hapo mwanzo na wala hivi sasa, hivyo kuwepo ibara hii ni udanganyifu wa kisheria.
 
sijawahi kuona nchi yenye maraisi watano bali inataka kutokea tanzania. Yaani Tanganyika ni sawa na mwanaume ----- anayesumbuliwa na mwanamke malaya ambaye ni Zanzibar. Hivi Zanzibar inabembelezwa nini mpaka yenyewe iitwe Zanzibar na sisi huku tusiitwe Tanganyika na tuitwe Tanzania Bara
Malaya itakuwa wazee wako,mtoto wa haramu lazima atafanya uharamu wake kama wewe, unaposema zanzibar ni malaya unatutukana wazanzibari tafadhali rekebisha kauli zako, lete hoja.
 
Warioba Na Tume Yake Hapa Wameteleza, Nadhani Wanalipenda Sana Neno Tanzania Ndo Mana Wanangangania Sana hiitwe TANZANIA BARA lkn warioba babu yetu yampasa aelewe kwamba hakuna nchi iliyopata uhuru ikiwa inaitwa tanzania bara bali ni tanganyika. hatuoni sababu ya kuendelea kupoteza utaifa wetu kwa kungangania tanzania bara sisi ni watanganyika. mbona zanzibar haiitwi tanzania visiwani? kwa nini sisi tuwe watumwa wao?
 
Kama hamtaki kuitwa Tanganyika basi tuitwe Tanzania tuache neno bara maana halileti maana yoyote kimataifa
 
sijawahi kuona nchi yenye maraisi watano bali inataka kutokea tanzania. Yaani Tanganyika ni sawa na mwanaume ----- anayesumbuliwa na mwanamke malaya ambaye ni Zanzibar. Hivi Zanzibar inabembelezwa nini mpaka yenyewe iitwe Zanzibar na sisi huku tusiitwe Tanganyika na tuitwe Tanzania Bara

malaya ni wew na wote wanaotaka vya bara na visiwani. kwa nin mucrdhike na bara yenu tu mpak.munganganie na zanzibar japo haitaki km si umalaya kitu gani?
kua na nidham. km hujafunzwa na mam ako ulimwengu utaendelea kukufunza
 
ukienda katika rasimu sura ya sita

57
.-(1) jamhuri ya muungano itakuwa na muundo wa shirikisho lenye serikali tatu ambazo ni:

(a) serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania;
(b) serikali ya mapinduzi ya zanzibar; na
(c) serikali ya tanzania bara


uchambuzi

hapo katika serikali ya tanzania bara naona ni utata mkubwa, huu ni usanii,kwa nini watanganyika hamulitaki jina lenu la tanganyika, eti munaita tanzania bara, sasa vile visiwa vya mafia ni vya nani ?

munaposema tanzania bara, visiwa vya mafia munavitoa katika himaya yenu kama ni eneo la tanganyika, tunataka rasimu hii ifanyiwe marekebisho ,kila penye tanzania bara kuwe na tanganyika

kuna ukweli.
 
Rasimu hii ni ya kichina lazima itakuwa wameshirikiswa, bora Warioba ajiuzulu, na alitwambia maamuzi magumu ndo haya ya usanii?
 
Ki kubwa wanangu wauone asbh,mchana ,jioni ayo ya majina nawaachia wenyewe wenye nchi yao
 
Sio tu kwamba Tanzania 'bara' haina visiwa kama mafia; haina mwambao wote wa pwani: kutokea Tanga, Bagamoyo hadi Mtwara! ama umesahau kua hii ilikua mali ya Sultan wa Zanzibar? Hivi unafikiri ukimuuliza mzaramo bara ni wapi atasema ni Dar?

tragedy of the commons
 
Acheni ujinga ,kwahiyo kwa akiri zenu fupi tanzania bara ni wapi? Au neno bara na pwani ni sawa? Unadhani mafia haipo bara ?je kwa wakati wote ambao tanganyika haikuwepo ilikuwa wapi zanzibar ?waryoba na tume wanaakiri na yote hayo wameyazingatia.

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom