GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,006
Ukienda katika rasimu sura ya sita
57.-(1) Jamhuri ya Muungano itakuwa na muundo wa shirikisho lenye serikali tatu ambazo ni:
(a) Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;
(b) Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar; na
(c) Serikali ya Tanzania Bara
Uchambuzi
Hapo katika serikali ya tanzania bara naona ni utata mkubwa, huu ni usanii,kwa nini watanganyika hamulitaki jina lenu la Tanganyika, eti munaita tanzania bara, sasa vile visiwa vya mafia ni vya nani ?
Munaposema tanzania bara, visiwa vya mafia munavitoa katika himaya yenu kama ni eneo la tanganyika, tunataka rasimu hii ifanyiwe marekebisho ,kila penye tanzania bara kuwe na TANGANYIKA