Mimi nilikuwa mwanafunzi wake ,amenisaidia sana ,Ras simba ni zaidi ya British council .kuna wanafunzi wa British council walishindwa kuongea na kuandika kingereza fasaha laki kwa Ras simba they speak fluently, jamani Mimi nilikuwa sijui kingereza hata kidogo nimejifunza kwa Ras Simba.Ras simba halikataa kuajiliwa British council, Jamaa yupo nondo na njia anazotumia ni sahihi mno,mfano Musa ameondoka muda sasa hivi,wakati uliopo mtimilifu kwa kingereza we write like that we start with subject + helping verb has/have + verb in past particles = Musa has gone recently.kama unabisha niulize swali lolote la kingereza nikuelekeze kwa muujibu wa Ras simba