Ras SIMBA bingwa wa formula ya Kingereza

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,710
3,675
Mimi ni mmoja wa watu wanaomsikia sana huyu jamaa anyeitwa Ras SIMBA,anasema yeye anafundisha Kingereza kwa "formula" alizozipata Ulaya,na formula yake ni ya N +S+T,Anasema hii formula aliigundua Ulaya.

Ras Simba anasema usipoongea Kingereza nadani ya MIEZI MITATU basi unarudishiwa hela yako,jeuri yake ni hiuo formula aliyoichukua huko Ulaya,na Ras SIMBA hana mpinzani katika kufundisha Kingereza cha kuongea Afrika Mashariki na kati.Ras anasema kama unabisha uje na Wakili wako umtiliane saini mkataba ili usipojua kuongea basi Ras Simba afungwe.

Kuna jamaa yangu aliwahi nambia,demu wake alienda kujifunza kwa Ras Simba...baada ya week akaambiwa ada yake imeisha,akasema mbona yeye bado hajajua kuongea Kingereza?nasikia Ras akamwambia:
Demu:Ras mbona sijajua kuongea?

Ras Simba: Mama anaitwaje kwa Kingereza?

Demu: Mother

Ras Simba: Baba je?

Demu:Father

Ras Simba: Basi dada umeshajuwa kuongea Kingereza
 
Hiyo formula ni balaa nadhani ndio ya kwanza duniani. Iwekwe kwenye rekodi za Guineas.
 
Basi Sawa....
Huyu ni wewe?
275369.jpg
 
Kweli ukimwambia cjajua kizungu anakuuliza Jina lako kwa kizungu na miaka yako ukijibu tu anakwambia ndo ushajua ivo
 
Tangazo lake linanichekeshaga saana ! Hivi huyu Jamaa anafananaje? Mwenye pic atupie tumwone mkali huyu!
 
Back
Top Bottom