khaaaaaaa we
Ndallo umewatolea wapi hawa?yaani hapo ambao unaweza kuwatumbua kiurahisi na kwa uharaka ni usher,lil wize,Ti na eminem wengine huwezi kuwajua wamebadilika kabisa.
for sure wazazi wasingeweza kupredict watoto wao wangekuja kuwa nani baadae,coz they look so sweet,so quite and tinny.kiukweli wametokelezea.