Ametumia fasihi,soma tena.Huyu ndugu Senti hamsini ndio anaboronga kabisa, sasa maandamano yatakuwaje dawa ya ugonjwa!
Hujaelewa mkuu, hiyo ni satireHuyu ndugu Senti hamsini ndio anaboronga kabisa, sasa maandamano yatakuwaje dawa ya ugonjwa!
Kweli kabisa maana naona watu wanamshambulia maana hawajaelewa kabisa alichomaanisha...NI ngumu mno kumuelewa 50 if Ur mind is not opened. 50 is a Poet
Kweli kabisa maana naona watu wanamshambulia maana hawajaelewa kabisa alichomaanisha...
Hahaa ndio Dawa yenyewe ati ...Huyu ndugu Senti hamsini ndio anaboronga kabisa, sasa maandamano yatakuwaje dawa ya ugonjwa!
Hata mm simuelewi kabisa sasa dawa ni ipi ni hiyo racism ama hiyo moth.erfurker!!?Huyu ndugu Senti hamsini ndio anaboronga kabisa, sasa maandamano yatakuwaje dawa ya ugonjwa!
Happy birthday Kaka mkubwa Mshana Jr . Dah [emoji109][emoji109][emoji109][emoji123][emoji123][emoji123]Thanks sana kiongozi.. HAPPY BIRTHDAY TO ME.... Mungu ni mwema kaka nimeiona nusu karne...!!!!Mwanamuziki Curtis James Jackson III alias 50 cents ametaja dawa ya Corona.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram 50 ameandika:
" This shit is just sad , yes I guess we know the cure for Corona virus was racism every body back outside mad as mother fucker."
Kauli hii ameitoa aki refer hatua ya mamilioni ya wamarekani nchi nzima kutoka Nje na kufanya maandamano kupinga kitendo cha mauaji ya kibaguzi yaliyo fanywa dhidi ya George Floyd.
Now mamilioni ya watu nchini Marekani wanatoka Nje kundamana Bila mask Bila sanitizers.
No one talks about masks
No one talks about sanitizers.
No one talks about Corona.
Even the govt of the US don't talk about Corona in relation to the millions of Americans who are on nationwide riots.
# 50 cents has a point.
# Happy birthday Kaka mkubwa Mshana Jr .
# I didn't know me and Mshana Jr share the same birthday.
Ndio maana hulka zetu zinafanana.
# halla team.Gemini
View attachment 1464088
Tuliza kichwa read between the lines.. 50 cent nails something thereHuyu ndugu Senti hamsini ndio anaboronga kabisa, sasa maandamano yatakuwaje dawa ya ugonjwa!
Happy birthday Kaka mkubwa Mshana Jr . Dah [emoji109][emoji109][emoji109][emoji123][emoji123][emoji123]Thanks sana kiongozi.. HAPPY BIRTHDAY TO ME.... Mungu ni mwema kaka nimeiona nusu karne...!!!!
Jr[emoji769]