Raphinha tunatamba nae mpaka 2028

Raphinha tunatamba nae mpaka 2028

Pale Barca wanatufaa sana Lautaro au Alvarev, hawa ndio wanaume wa kazi kazi. Hawana kulialia na kusuka kiswahili.
 
Kwa nini master
Chochote cha serikali huwa sikiungi mkono, maana najua mafanikio yake yako kwa kubebwa bebwa tu. Kwa asili, Real Madrid ni timu ya Mfalme wa Spain, ila Barcelona ni timu ya wanaharakati wapinga dhulma.
 
Back
Top Bottom