Hala madridNice
sema jamaa kazeeLeo kaongeza mkataba WA kusalia Barcelona mpaka 2028
Weka trophy zetu halafu uone dunia zima timu gani inapaswa kujiamini.Na kukundea kote kule Bado una ujasit WA kusema hala Madrid
yeah ndo kazee kwenye football age ya uzee inaanzia 30 apo nadhan ndo maaana kapewa mkataba mfupi
Halafu sikua nashindana braza ikawaje nishinde?🤣🤣Aya umeshnda
Trophy yenu ya msimu huu ni hii.Weka trophy zetu halafu uone dunia zima timu gani inapaswa kujiamini.
Trophy yenu ya msimu huu ni hii.
View attachment 3342500
Weka trophy zetu halafu uone dunia zima timu gani inapaswa kujiamini.
UEFA for mens not boyzLeo kaongeza mkataba WA kusalia Barcelona mpaka 2028