HOW OLD ARE YOU?my best Actor Jonny Depp![]()
NGOJA NIIANGALIEHuwa sipendi animation movies il hii ya Rango naipenda sana
watu wengine washamba. animation movies nitangalia mpaka uzee wangu nikijaliwaMazee kumbe mnajua vitu vizuriii...kuna watu wakiniona nangalia hizi mambo wananiona mtoto kumbe hawajui uzuri wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa, hapo ndo ilikua turning pointHahhhaha aliona ule mji alioingia ni wakibabe watu wake wagumu akaona avae uhusika wa pale, mana alihisi wangemzngua mgeni legelege...![]()



Ha ha h aliiingia na bonge la mkwala kwenye bar.
Akakutana na mbabe. Akameza cigar na cactus juice. Hahaha daah.
Rango aisee.
alinchekesha alivyoanza kukohoa alivyopuliziwa moshi usoni, badae akaona ataonekana boya wakati kashatoka kuwapanga kaua watu 7 kwa risasi 1, akaamua kukomaaTena Jenkins brothers.....hahhahha![]()
![]()
alinchekesha alivyoanza kukohoa alivyopuliziwa moshi usoni, badae akaona ataonekana boya wakati kashatoka kuwapanga kaua watu 7 kwa risasi 1, akaamua kukomaa
Sent using Jamii Forums mobile app





ha ha a... kakomaa kinoma .. kwanza ule mjuise mwanangu hadi jamaa kakajamba .. haha ila kakajifanya kako fit.![]()
![]()
alinchekesha alivyoanza kukohoa alivyopuliziwa moshi usoni, badae akaona ataonekana boya wakati kashatoka kuwapanga kaua watu 7 kwa risasi 1, akaamua kukomaa
Sent using Jamii Forums mobile app
kajamaa kanasema kabisa .. "with one bullet"Tena Jenkins brothers.....hahhahha
Wakamuona bonge la hero, kumbe muoga hana mfano![]()
Tena Jenkins brothers.....hahhahha
Wakamuona bonge la hero, kumbe muoga hana mfano![]()


jamaa muoga kinoma, ila ana biti huyo. Nlicheka pale alivyopewa bunduki na bad bill ili wauane nje ki-cowboy, kakawa hakajui hata kushika bunduki, ila akaanza kuwapiga biti kama kawaida.


..umesahau pale akitembea Jangwan kwenda asiko pajua ghafla akaskia sauti"Inama"kucheki hakuona kitu "What.. akamuona chura kabonyea!akamwambia got down! Rango akawa bado anashangaa..Chura akamwambia U ar late goo go,Rango ikabidi akimbilie kwny ule mwiba..Yule bundi anasema Rango atakufa,wenzie wanamuuliza mbona hafi kila mara


then akarud kwa chura,Chura akamwabia you late too run,Rango kucheki juu akamuona hawk anadrop Weeweee..mbio huku akupiga Nduruu.


Me nachekaga tu pale wakati anaingia pale bar ..kila mtu aka kaa kimya wakadhan ni bonge la mbabe anaingia, sasa kaenda kaagiza maji hahah acha maraia waangue kicheko. .maana maji kwao ni kitu wanaskiaga tu. Sasa uyo mlev uko pemben amekaa glfa kaznduka akaropoka "make it double" afu akarudi kulalaha ha a... kakomaa kinoma .. kwanza ule mjuise mwanangu hadi jamaa kakajamba .. haha ila kakajifanya kako fit.
Hakuna mwendelezo wa Rango.. Angalau zenye mwendelezo ni Frozen itakuja nov.. The Croods May 5. Nadhani ni kutokana na kufeli kwa mauzo2018/2019 Itatoka