Rangi ya ngozi ya Adam ilikuwa reddish-brown (kama mfinyanzi wa reddish-brown)

Hivi mmejuaje kama alikua na rangi hiyo? Kitu kama huna uhakikanacho wala andiko katika vitabu ni heri ukae kimya.
Unaujua udongo wa mfinyanzi una rangi gani? Au ulishawahi kuona udongo mweupe duniani?
Ukielewa rangi ya udongo ndiyo utajua mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani.
Anyway hakuna reference yo yote inayoweza kuthibitisha ila tunajaribu kuwaza.
 
Back
Top Bottom