manumbu1
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 713
- 403
Ndugu wana jamvi napenda kujua ni kwa nini sisi watu wa rangi nyeusi (wabantu) zikitutembelea kidogo (neema) tunabadilika rangi kutoka weusi kuwa weupe (light skin).
Je tuna asili ya kinyonga? Wenzetu wazungu shida na dhiki ikiwafika wanageuka kutoka weupe kuwa wekundu hawawi weusi.
Mfano hebu mwangalieni Obama na Mkewe. Wametoka jumba jeupe utadhania ni wazungu hali walipoingia walikuwa nyeusi tii kama vile Wametoka Kisumu leo yake. Haya ni maono yangu naomba waelewa wanijuze.