Rangi ya mwaka

Rangi ya mwaka

Ngatelefijo

Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
20
Reaction score
3
Wadau habari zenu, naomba kujuzwa ni ipi rangi ya mwaka 2014 msaada jamani kwa yeyote anayejua
 
Hivi kwanini watu wanapenda kujishughulisha na mambo ambayo hayana maana? Hiyo rangi anaichagua nani na ina maana gani? Ukiambiwa mwaka huu rangi yake ni kama ile ya kinyesi?
 
main_banner.jpg hiyo hapo
 
Back
Top Bottom