Tagawa Mwakitombile
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 468
- 398
Watanzania tumefikia huku kweli? Badala ya kuwaza vitu vya maana tunaongelea rangi ya chupi!
Hoja za kujadiliwa zipo nyingi: Mtwara mambo bado mabichi, Elimu yetu inadidimia kila kukicha, Nani anang'oa watu kucha na meno, Tembo na twiga wanapanda ndege kwa passport toka wapi, Kwa nini watu wanapishana angani kama tai, Rasimu ya katiba, nk.
akivaa ya kijani inavutia sana
Tupotee mara ngapi mkuu, cha kufanya ni kumuomba Mungu atutoe kwenye hili janga tu.
Nchi imemezwa na mambo ya ajabu ajabu, juzi kati amefariki Dokta bingwa wa magonjwa ya moyo His Excellence Dk. Massau aliyepigana usiku na mchana kuokoa maisha ya watanzania walio wengi enzi za uhai wake, lakini inasikitisha kuona hata media hazikucover msiba wake kiasi alichopewa muimba "mitungi mikasi".

i saw this the other day. i cant imagine kuzivaa hizo.View attachment 96697
Watanzania tumefikia huku kweli? Badala ya kuwaza vitu vya maana tunaongelea rangi ya chupi!
Hoja za kujadiliwa zipo nyingi: Mtwara mambo bado mabichi, Elimu yetu inadidimia kila kukicha, Nani anang'oa watu kucha na meno, Tembo na twiga wanapanda ndege kwa passport toka wapi, Kwa nini watu wanapishana angani kama tai, Rasimu ya katiba, nk.
nunua extra large size. lolSasa sisi wenye mitulinga kama uko beach likichoropoka hapo si balaa!!!
Kwanza nikikutana na mwabe wa aina hii ndani ya bag lake
siwezi amini ni lakwake, nitaanza kutafuta tochi nimulike mwizi
halafu ananihakikishia ni lake, na tinga kabisa for demonstration
Hapo hapo naangusha kilio, narudi kwetu na nakataa baraza.
babu nisamehe sana,Nimekukosea nini teacher?
i don't deserve this ndugu yangu.
Aisee Kin'asti sikuwezi!!!!!!Teh teh
haya nasubiri jibu. Ambia ikuje na sample. Manake na ubusy huo nakupatia picha tu baba.
View attachment 96691
Ha ha ha, we are vere
bize, akchwale hata wabunge wako bize wanasinzia
Ujue, kwa watu walio bize kama Bill Gate, huwa wanawaamuru wake zao
'rara nikurenge', hawana muda kwa kutafutiana apetaiti
Ni chupi ya rangi gani unapenda mpenzi wako avae? Kwa nini?
Sasa sisi wenye mitulinga kama uko beach likichoropoka hapo si balaa!!!
Kuna vitu vingi vya kuwazia hivyo niliviwaza toka enzi za VIP mpira ukikatika unaikuta kifuani, samahani kwa umri wako sijui hata kama unazijua, nisije kukomaza bure.Kwani wewe huvai chupi mpaka usiziwazie???
Kama ikitokea umeliona utafanyaje?Ha haaaa,yaani nimecheka mpaka basi