Rangi ya ch*pi

aiseee kweli nimezeeka lol!
goja nitafute moja kwaajili ya Klein manake hii kwa baba mtu nitaambulia kushangaliwa.
 
mimi ninacho jua ni kuwa mwanaume akivaa chupi mashine inapinda na inaweza mletea ugumba baada... so mi napenda kuvaa bukta nyepesi nyeupe ya cotton...................ila kwa upande wa mke wangu napenda avae kitu cheupeeeeeeeeee ...yani nikiona tuu mashine inasimama na kazi inaweza anza muda wowote. LKN KWELI HIZI MADA SIO ZA MSINGI KUNA MAMBO MENGI YA KUJADILI YENYE MSINGI e.g katiba, mgawanyo wa rasilimali...waizi /majangili wa pembe...mafisadi....kiongozi bora wa2015 usalama wataifa etc...
 
i saw this the other day. i cant imagine kuzivaa hizo.
 
aiseee kweli nimezeeka lol!
goja nitafute moja kwaajili ya Klein manake hii kwa baba mtu nitaambulia kushangaliwa.
Hahahahaha, najaribu kupata picha ya My Boo akiwa amevaa hii
Hakyanani tena this could be a valid reason to break up with him
cc: AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha, najaribu kupata picha ya My Boo akiwa amevaa hii
Hakyanani tena this could be a valid reason to break up with him
cc: AshaDii

hahahahah! so do i ma dear!
yaani unakuta hubby ndo karudi toka safari kaja na vazi hili
ptuuu..........hapo lazima pawe pagumu
 
Ngoja kwanza mama naniliu asije kupita mitaa hii jamani! Ila kiukweli navutiwa na rangi ya light purple!


 
hahahahah! so do i ma dear!
yaani unakuta hubby ndo karudi toka safari kaja na vazi hili
ptuuu..........hapo lazima pawe pagumu
Kwanza nikikutana na mwabe wa aina hii ndani ya bag lake
siwezi amini ni lakwake, nitaanza kutafuta tochi nimulike mwizi
halafu ananihakikishia ni lake, na tinga kabisa for demonstration
Hapo hapo naangusha kilio, narudi kwetu na nakataa baraza.
 
Hizi hizi hazitawasaga saga kweli?

Inaonekata iko tait, ila ya mshipi mfupi nzuri sana kwa kazi

 
We unataka ch*pi unataka mzigo?
Ebo ebu fanya kilichokuleta!
Mimi leta hivi hivi hapana weka hizo password!
Kufuli kufuli tu,liwe solex au nini me sitakiiiiii!!!!

Hayo mambo ya rangi waachie akina eljandro

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…