Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,763
- 20,902
- Thread starter
- #81
Kwenye misitu ya mvua ya Afrika mashariki.aliishi msituni katika bara lipi na eneo gani katika hilo bara?
Kwenye misitu ya mvua ya Afrika mashariki.aliishi msituni katika bara lipi na eneo gani katika hilo bara?
share proof...Kwenye misitu ya mvua ya Afrika mashariki.
Ni ngumu sana. Articles na kama ukikupendeza na vitabu vinavyohusu sfari ta binadamu kutoka Africa. Inaeleza jinsi kila aina ya binadamu ipo sehemu ilipo. Na kwaninin inaceangi iliyonayo.p
share proof...
Nipo hapa.Kwani Steven Wassira anasemaje?