Achen uongo wew jamàa, dunian hapa watu weusi siyo weusi kwasababu za kimazingira bali nijinsi walivyo umbwa, kwan mbona mtu mweusi aliye zaliwa marekan, uingereza, ufaransa n.k mbona tunamuona akiendelea ku reproduce rangi yake ileile bwana??
1)It is a barbaric speculation to say that black people are black because of environments
2) Therefore blacks are black because of naturalism, and due to creation factor and not otherwise
#it is not fair to compare human being with gorillas and such related family, since if at all these animals could have been undergoing changes we could have seen their perfect changes to date in mikumi national park and other world parks
*Ni tafiti za kizamani ambazo tunaeza kupingananazo iwapo mtu mmoja alinyanyuka na kuiaminisha dunia kuwa binadam katokana na sokwe/ nyani, lakin vile vile et mtu mweusi ni mweusi kwasabab ya mazngira.
Tafiti hii inaeza kupingwa kama bwana Magellan alivyo pinga tafiti iliyosema et dunia ni tambalale.
Najivunia kuwa mtu mweusi (muafrika) maana najua mungu aliniumba hivyo kwa sababu zake, hataivyo rangi nyeusi ni ya kipekee dunian, almost 15% ndo idadi ya watu weusi na75% ni wale weupe.