Rangi inayotoka kirahisi jua siyo ya asiliBro ni rahisi mwafrika kuntwa dawa na kuwa mweupe kama mzungu, ila mzingu kuwa mwafrica haiwezekani, binafam wote ni weusi, weipe ni sio asili
Hayo yanawezekana kwa madawa(artificial). Hakuna anayetamani kuwa mweusi ndio maana hawatengenezi madawa hayo.Wazungu wanafahamu weusi wanatamani kuwa weupe ndio maana wakawatengenezea hayo madawaBro ni rahisi mwafrika kuntwa dawa na kuwa mweupe kama mzungu, ila mzingu kuwa mwafrica haiwezekani, binafam wote ni weusi, weipe ni sio asili
Mkuu huo utafiti wa hakuna anayetaka kuwa mweusi uliufanya vipi?Hayo yanawezekana kwa madawa(artificial). Hakuna anayetamani kuwa mweusi ndio maana hawatengenezi madawa hayo.Wazungu wanafahamu weusi wanatamani kuwa weupe ndio maana wakawatengenezea hayo madawa
Si ndo hapo sasa,halafu kila anapoongelewa sokwe watu wanamuangalia muafrikaNahisi utakuwa na matatizo
Wewe mpaka leo hii na kusoma kwako unaamini kuwa ulitokana Na Sokwe
unafananisha Ngozi yako Na ya sokwe
Si ndo hapo sasa,halafu kila anapoongelewa sokwe watu wanamuangalia muafrikaNahisi utakuwa na matatizo
Wewe mpaka leo hii na kusoma kwako unaamini kuwa ulitokana Na Sokwe
unafananisha Ngozi yako Na ya sokwe
Kama mfumo wa dini imetengenezwa na wazungu na waarabu unategemea wamuweke mweusi ili iweje?ddunia nzima watu weusi ndo maskini wa kutupwa, uchawi na roho mbaya! Weusi ni laana asee.. hakun kitu cheusi kinachovutia niamini mimi. kuna mtume alikuwaga mweusi kusom kwako kote biblia au kuran!?
Kwa niaba yake mimi nasema wewe ni Mwehu🙁Kwani Steven Wassira anasemaje?
Na nywele nyeusi pia? 😂😂Rangi hii imetokea tu maishani sababu ya mazingira yanayochochea kuzalishwa Melanin kwa wingi.
Rangi asili ya binadamu ni nyeupe. Kisayansi binadamu tunashare ancestor na sokwe mtu. Ukiangalia vizuri sokwe mtu chini ya manyoya yake ni mweupe.
Pia jamii za watu wa kale zaidi duniani kama wale wabushmen wa kalahari ni weupe.
Hii rangi nyeusi siyo rangi asili ya binadamu.
Dah hivi huyu ni mtu!
Sawa hivi wale wenye ngozi ya maji ya kunde ni weusi? je mfano kama watu wa singida je ile rangi yao ya ngozi ni weusi pia? nadhani rangi ya mwanadamu haipo kama tunavyo aminishwa. Pia mzungu akipigwa na jua anakuwa mwekundu siyo mweusi, ila mtu mwenye rangi ya maji ya kunde akipigwa na jua au akipata shida sana ngozi yake inafifia na kuwa nyeusi zaidi.Mweusi-mweusi, sio mweusi. Pia inaonekana alikuwa anajiringanisha na wengine walio kuwa weupe, na sababu ya kuwa na rangi tofauti ni jua limempiga. Yawezekana alikuwa na safari za mara kwa mara kuja africa, au alikuwa mchungangamia na muda mwingi kuwa juani.
Hili swali deeply wanaweza lijibu wana biology, uelewa wangu kwenye fani hiyo ni mdogo sana.Sawa hivi wale wenye ngozi ya maji ya kunde ni weusi? je mfano kama watu wa singida je ile rangi yao ya ngozi ni weusi pia? nadhani rangi ya mwanadamu haipo kama tunavyo aminishwa. Pia mzungu akipigwa na jua anakuwa mwekundu siyo mweusi, ila mtu mwenye rangi ya maji ya kunde akipigwa na jua au akipata shida sana ngozi yake inafifia na kuwa nyeusi zaidi.
Story za vijiweni hizo...Hakuna mrangi mweusi?Mabadiliko huchukua mamilioni ya miaka, miaka 100 unayotaka rangi ibadirike, ni ndoto. Mfano mzuri ni kabla la Warangi. Chimbuko lao ni wahamiaji toka Iraq. Walinganishe rangi yao, pamoja na kuwa maelfu ya miaka imepita, bado hawajapata rangi ya weusi wa jua la africa ya kitropic.
Achen uongo wew jamàa, dunian hapa watu weusi siyo weusi kwasababu za kimazingira bali nijinsi walivyo umbwa, kwan mbona mtu mweusi aliye zaliwa marekan, uingereza, ufaransa n.k mbona tunamuona akiendelea ku reproduce rangi yake ileile bwana??Rangi hii imetokea tu maishani sababu ya mazingira yanayochochea kuzalishwa Melanin kwa wingi.
Rangi asili ya binadamu ni nyeupe. Kisayansi binadamu tunashare ancestor na sokwe mtu. Ukiangalia vizuri sokwe mtu chini ya manyoya yake ni mweupe.
Pia jamii za watu wa kale zaidi duniani kama wale wabushmen wa kalahari ni weupe.
Hii rangi nyeusi siyo rangi asili ya binadamu.