Rangi nyeupe ni nzuri mazee, ndio maana wanawake wanajichubua, tuache unafiki

Hukubaliani na kujichubua ni wewe unasema..

Skin lighting in Africa,India,Brazil and United States ni janga! Ni 1.5 Bilion USD industry! Statistics ni worse!

Shida sio differences,differences ni lazima..

Tatizo ni pale watu wanapo declare white skin ni superior than darker skin

Maana yake huja-prefer tu personally,ume-prefer and then ukadharau the opposite pigmentation....

Utu ni ku-prefer bila kudharau ingine....sio lazima udharau!
When it comes to changing complexion because you feel inferior and you think lighter skinned people are superior that us a major problem.
 
acha ulimbukeni huo. hao wanaojitia mikorogo wanamatatizo ya akili kama ulivo weye. Na huo mguu hebu kuwa na kawaida alau ya kuupaka mafuta.

BLACK IS BEAUTY
 
The post trauma effects of colonialism and slavery is still on!

It is really hard to get rid of these things in our African minds...Tougher than moving mountains!

It is so engrained in our social fabric so deep...

Its unfortunate....

You can prefer light skin,yes,but don't grade....
Ndo kimbilio lenu hili somo la history kidato cha kwanza hata kwenye mambo ya kawaida, sasa colonialism imefanyaje hapo.. rangi nyeupe ni kali full stop!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu upo sawa kulingana na mtizamo wako, na sio lazima mtu mwingine akupinge au akuunge mkono, kwa rangi utakayokuwa nayo kwa kuzaliwa ikubali tu kwakuwa hukupendekeza hapo awali kabla ya kuzaliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni per research mzee na tena nikakuwekea excerpt kabisa....Kubisha unatakiwa uje na research yako kuipinga!



Again..hiyo ni personal preference yako iliyotokea baada ya damage kufanyika long time ago...

Nachotaka ni uone how your thread damage inayofanya to the innocent women you are grading!



Mkuu bado unajifanya hutaki kuelewa!

Sina inferiority complex on this issue...kwanza thread yako haijaelekezwa kwangu,umeielekeza kwa wanawake wa Kiafrika which in turn ni mama zako,dada zako na binti zako wewe mwenyewe!

Tatizo unachukulia mambo juu juu sana mkuu...weupe au weusi ni unfortunately racially coded...Hapo ndipo inaleta sensitivity!Ndio maana nikaingia kuwatetea..

Bila kuelewa umeumiza feelings za hawa wanawake unnecessarily sababu umegusa racial sensitivity lines!



Still unazidi kufeli....traits zote ulizotoa hapo zipo across all races ndio maana sio defined under racial lines...Ndio maana sio sensitive!

Ila rangi ni racially coded...ndio shida....

Mbona huelewi?



Zote ni ubaguzi ,biases na discrimination mkuu..

Sema hazija-cross racial lines.....

Hebu call spade a spade!



Mkuu race ni social construct,that is,a symbolic identity created to establish some cultural meaning,therefore race is not an inherent physical or biological quality...

Ndio maana unawezapata range of skin color lines within one race itself....

Ulichofanya wewe ni intra racism,yaani unafanya racism within a race baada ya effect from the outside race!

Kwanza nani kakwambia Bantu ni race?

Bantu ni just a small grouping ndani ya black race!

Na statistic ya 99% Tanzania ni Bantu umeipata wapi?

Approx. Bantu in Tanzania stand at 51milion nearly 90% tu,the remaining 10% ni watu wengine!



Your thread ni one of the problem wala sio solution!

Imagine ulie-mgrade hapo ni binti yako wa damu,utakua umemfanyia permanent damage milele na milele...

Sasa unaongea simplistic tu kwasababu hao wanawake ulioumiza their worthness hawakuhusu?

I understand sisi wanadamu ni selfish na discriminatory,ila walao usitoe hadharani hivi maana una affect massive group of people!

Even after this you just dont care maana haikuhusu,until ukiwa na mabinti zako nao wafanyiwe hivi.


Still unarudi kule kule....traits unazotaja hazijagusa racial lines!

Only color touches racial lines,hapo ndio sensitivity inapokuja....

Japokua pia ni ubaguzi!


Mnafiki ni wewe maana unaelewa kabisa thread yako imeumiza group of women ila bado unakomaa upo sahihi!

Ukiitwa mzee na mvi umetukanwa?Kama sio mzee sema sio mzee ueleweke..Na kama huna mvi sema huna basi utaeleweka who you are...

No need for feelings!
Ila wewe mtoto una akili sana, hasa ulipotoa hoja kuhusu sanctity ya genetics and the inability to change it. Binafsi hata siwezi kumcheka au kumpuuza mtu kwa maumbile aliyoumbwa nayo kwasababu mimi nishawahi kuwa mhanga wa ubaguzi wa rangi.

Nakumbuka nikiwa na miaka 10 kuna mama muingereza mmoja pamoja na mume waliongea kitu kibaya sana kuhusu mimk wakihisi sielewi, lakini kile kitu kilinikaa mpaka leo hii na ukubwa wangu.

Mtu ukiwambiwa anaweza aiselewe, lakini kuna watu huko wanaumia na kujichukia walivyo.
 
Back
Top Bottom