Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,676
- 19,204
- Thread starter
-
- #41
tuache utani,mtu anayetembelea chuma ya 400ml hawezi kuwa anaongea maneno mepesi mepesi kama wewe
Range rover ya ku-google, naona unatafuta wanawake humu na hii thread ilikuwa ni introduction tu kwamba mambo swafi kabisa kumbe wapi!
Rais wako wa jamhuri anaingia kuchungulia humu sembuse mimi? Hata wew unaweza kununua kali zaidi ya hilo sema hujaamua!Wenye hizo pesa hatuingii JF
Hili tangazo halijakaa poa kbs. Mbona hamna namba za simu ama detaila za gari husika?Gari inauzwa ni mpya kama inavyo onekana hapo range new model 2016 imetembea km 20 tu!! 400Mil only! Haina dalali
Napatikana Masaki Dar es salaam!
Kweli kabisa kwanza ata post zake zinahaririwa kabla ya kuwekwa online! Hahahah jamaa alikuwa anatafuta madem tu hana lolotetuache utani,mtu anayetembelea chuma ya 400ml hawezi kuwa anaongea maneno mepesi mepesi kama wewe
ujavunja nyonga kweli.Nimejuta kufungua hapa huku nimesimama, nimejikwaa nikaanguka mxyuuuu
Hizi comment zako bana.Jamani mbona waendeshaji tupo, tunaendesha miguu tu
hizi si zina protin enhancer hazifai kwa wanaumeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Gari inauzwa ni mpya kama inavyo onekana hapo range new model 2016 imetembea km 20 tu!! 400Mil only! Haina dalali
Napatikana Masaki Dar es salaam!
Gari inauzwa ni mpya kama inavyo onekana hapo range new model 2016 imetembea km 20 tu!! 400Mil only! Haina dalali
Napatikana Masaki Dar es salaam!
Wenzako tunakaaga kwenye vx kilimo kwanza ambayo unaweza kuliuza anytime bila shida.
Mkuu li-evoku ni mimba.
Umechambua vizuri sana kaka!tzs 400m ni karibu $200,000.
[emoji2][emoji2][emoji2] milion 400 kiruuuu.... Hapo napata nyumba nzuri sana kwa 70mil. Napata gari nzuri sama ya kutembelea kwa mil 8 tu yaani nzuri ajabu.
Hapo nanunua Coaster zinapiga safari.... Naenda shamba napiga mzigo balaa. Ukinitafuta 2018 sikamatiki nimeshakua tajiri
Kibo cha ndesi[emoji86]
Umechambua vizuri sana kaka!
Gari haina cha ziada au special ambacho magari mengine yanaweza kuwa navyo au yasiwe navyo kumbuka hadi kufikia gharama kubwa kama navyo taka kuliuza gari sijaichukua yard au sijaagiza be foward sijatumia wakala yoyote bro! Gari niliiyona kwenye mtandao nikalipenda na nikachukua picha kama sample nikaingia constract na kampuni ya range wanitengenezee kama navyo taka mim wanacho angalia wao ni maslai ya hela tu! Kipi nikiongeze na kipi nisikiweke ndiyo maana unaona gharama imepaa ila sijaweka bei halisi yake hadi kukamilika! Gari kama unavyo iyona hapo juu kila kitu ila ina milango mitano, Inauwezo wa kutembea bila mafuta kutoka Morogoro hadi dar kingine ina bulatt proof haipitishi risas, speed yake ni mara mbili ya range ya kawaida! Ndani ya miaka 7 ikiharibika unatumia speare kwa gharama zao! Bonus niliyopewa ni kusafirishiwa bure hadi bandarini! Ina vitu vingi sana hivyo nivichache!
Wenzako tunakaaga kwenye vx kilimo kwanza ambayo unaweza kuliuza anytime bila shida.
Mkuu li-evoku ni mimba.
Bro usisemee mifuko ya watu kama wew huna hela ni wew wa Tz wangapi wanamiliki magari ya ma bilion ya hela mbona husemi! Baada ya kuona hapa jf kimya kuna mshkaji kaniunganisha na mfanya biashara wa mafuta wa congo kesho linasafirishwa na tozo zote TRA nimeshamaliza nao!!Yaani kwa jinsi ulivyoweka hilo tangazo lako halafu unatuambia eti umeshapata mteja hata mtoto wa form one anajua ni uongo wa kutafuta sifa tu...na hata biashara ya magari hasa mtandaoni huenda hujui inafanyikaje....
Wanaojua watakua wamenielewa
tufanye biashara boss nitumie Email hapaGari inauzwa ni mpya kama inavyo onekana hapo range new model 2016 imetembea km 20 tu!! 400Mil only! Haina dalali
Napatikana Masaki Dar es salaam!
Unaweza ukawa upo sahihi watu kutumia mali za ndugu zao kwenda kujipatia wanawake ste'l ni ujinga naamini ila bado hujajua mim ni jinsia gani ndiyo tatizo lililopo! Wabongo hadi washuhudie tukio ndiyo waamini ukweli!! Unaweza kuni check pm nikuambie nilipo uje nikupeleke ukashuhudie ndiyo uridhike kabla ya kesho!!Kweli kabisa kwanza ata post zake zinahaririwa kabla ya kuwekwa online! Hahahah jamaa alikuwa anatafuta madem tu hana lolote