Range rover new model (2016) inauzwa!!

Gari inauzwa ni mpya kama inavyo onekana hapo range new model 2016 imetembea km 20 tu!! 400Mil only! Haina dalali
Napatikana Masaki Dar es salaam!

Yaani ukijumlisha mil 100= Zawadi ya mshind wa big brother,,,
400000000,,,yaani hizo sifuri ukizingalia tu ,,lazima macho yaume sijui siku yakuona makaratasi yake!!!!
 
Reactions: MC7


Mbona imekaa kama Land Rover Freellander mkuu ebu kuwa mbunifu kiduchu JF wanaingia watu wengi vichwa kweli kweli.
acha utani mkuu hiyo ni evoque bhana freelander haipo hivyo btw, amesema ishauzwa
 


Mbona imekaa kama Land Rover Freellander mkuu ebu kuwa mbunifu kiduchu JF wanaingia watu wengi vichwa kweli kweli.
Mkuu wangu angalia vizuri ni new model 2016 nilichukua mwenyewe na kuisafirisha
 
[emoji2][emoji2][emoji2] milion 400 kiruuuu.... Hapo napata nyumba nzuri sana kwa 70mil. Napata gari nzuri sama ya kutembelea kwa mil 8 tu yaani nzuri ajabu.
Hapo nanunua Coaster zinapiga safari.... Naenda shamba napiga mzigo balaa. Ukinitafuta 2018 sikamatiki nimeshakua tajiri

Kibo cha ndesi[emoji86]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…