Inategemea na mtumiaji.. kusema aina yeyote ya RR si kweli, Range Rover hizi latest zina luxury features ambazo LC haina, mfano mdogo tu RR hizi latest ni all wheel steering , ukipiga kona na tairi za nyuma zinapiga kona...
wenyewe wanasema RR zina cutting edge luxury features..
Mfano SV autobiography ,Ukija kwenye mwendo, muonekano, nguvu, interior na luxury LC haifiki, LC itaizidi RR kwenye durability..
Kinachopelekea RR kutokuwa reliable ni jinsi ilivyo complex kwenye electronics na mechanical tokana na luxury features ilizonazo... mfano hio feature ya all wheel steering tayari inaongeza complexity , hivyo RR latest ikipiga kona ina turning circle ndogo, unaweza piga kona katikati ya barabara ya njia moja na kugeuka chap...
Land Rover wame focus zaidi kwenye innovation, luxury features kuliko durability...
Wateja wa RR wanaangalia status, luxury, capability n.k kuliko durability, wateja wa LC watafocus zaidi na reliability...