Sijakuelewa LC kuzidiwa na LC!?Ndio maana sijakataa kuhusu reliability...
Torque LC inazidiwa mbali na LC, hasa RR zenye V8 engine...
Sijakuelewa LC kuzidiwa na LC!?Ndio maana sijakataa kuhusu reliability...
Torque LC inazidiwa mbali na LC, hasa RR zenye V8 engine...
Umesema RR ya aina yeyote, lakini nadhani utakuwa unazungumzia hizi RR ambazo ni trim level za chini, au pengine Velar nakadhalika...mkuu LC300 ina nguvu kuliko RR in all aspects.
Pia kuna mwamba anaitwa toyota sequioa. Huyu ndio kabisaa.
Ukimuweka na land cruiser double cabin pickup.
I mean LC inazidiwa na RR... LC inaizidi RR kwenye durability, kuhusu mwendo, nguvu, torque n.k LC haigusi..Sijakuelewa LC kuzidiwa na LC!?
Mkuu LC300 ina hp ya 520 kwenda juu.Katizame matoleo ya kuanzia 2022 kuja juu.Umesema RR ya aina yeyote, lakini nadhani utakuwa unazungumzia hizi RR ambazo ni trim level za chini, au pengine Velar nakadhalika...
Ukianza kugusa RR kwenye top models hio league Land cruiser haiwezi, ipo RR ina 606 hp, hio LC ina around 300-400 hp...
Torque pia LC inazidiwa jaribu hata ku search mitandaoni...
Labda uli experience RR models za chini ukadhani LC inaweza league na RR..
Sio kweli bro.I mean LC inazidiwa na RR... LC inaizidi RR kwenye durability, kuhusu mwendo, nguvu, torque n.k LC haigusi..
Mkuu LC300 ina hp ya 520 kwenda juu.Katizame matoleo ya kuanzia 2022 kuja juu.
Huko mitandaoni natizama pia,hata mashindano ya kuvutana RR haifui dafu kabisa.
Nahisi hapa unabisha based on opinion siyo factSio kweli bro.
Labda kwenye speed ila torquet na hp lc300 ipo juu.
Ukiziweka hapo Lc300 na RR zipande mlima mkali uliosimama RR haitoboi bro maisha.
Zizamishe kwenye tope zito RR kutoboa na ikatoka ni majaliwa.
LC yenye hp kubwa zaidi ina 457hp, Range Rover yenye hp kubwa ni sport SV ina 636 hp...Mkuu LC300 ina hp ya 520 kwenda juu.Katizame matoleo ya kuanzia 2022 kuja juu.
Huko mitandaoni natizama pia,hata mashindano ya kuvutana RR haifui dafu kabisa.
ni fact mkuu. Ndio maana nikataja hata horsepower ya Toyota landcruiser.Nahisi hapa unabisha based on opinion siyo fact
Mkuu upo sahihi siyo kwa quality, balance, speed hata innovation unaweza ukasimama kulinganisha aina yeyote ya toyota/nissan na hizo ndinga.Range Rover,Mercedes Benz hao jamaa tuwaangalie tu sidhani kama sisi walima mchicha tunaweza kuwakosoa sidhani sidhani kabisaa..
Yaani Velar ya 2024 unafata na SUV gani mkuu mimi nipo hapa..
Hilo sifahamu...Sio kweli bro.
Labda kwenye speed ila torquet na hp lc300 ipo juu.
Ukiziweka hapo Lc300 na RR zipande mlima mkali uliosimama RR haitoboi bro maisha.
Zizamishe kwenye tope zito RR kutoboa na ikatoka ni majaliwa.
Tanzania tupo nyuma sana kwenye magari kwa sababu ya kodi kubwa ndio maana wengi wanaongelea RR kama vile wanaisema Ford Fiesta hapa nilipo sijamaliza kuona aina tofauti za RR ingawaje kila siku nashinda kwenye minada na kwa wauzaji wa magari pia nimeleta sana hizo gari Zambia,Kenya na Tanzania hizo gari zina mapumziko aisee uchovu wa kutoka SA mpaka Tunduma kama vile safari nimeianza Tunduma mpaka daslm...Mkuu upo sahihi siyo kwa quality, balance, speed hata innovation unaweza ukasimama kulinganisha aina yeyote ya toyota/nissan na hizo ndinga.
Unapozungumzia mazingira magumu kiufupi unazungumzia offroad mkuu.Hilo sifahamu...
RR ilitengenezwa kwa teknolojia ya juu kwa off road kuliko LC, inapita off road ukihisi utulivu ndani na comfort, kumbuka zina air suspension, ina modes nyingi za aina ya njia utumiayo, tope, snow, miamba n.k...
Kwa safari ndefu na mazingira magumu ya barabara chukua LC , maana ni imara kuliko RR...
Watanzania tunapenda uniform ndio maana wengi wanataka kuendesha gari kama ya mbunge ila hakuna gari zisizoharibika hizo engine ngumu unazosema ndio tunazibeba kuja kuuza Tanzania gari zote zinahiraji matunzo sahihi na pia home hakuna chaguzi kubwa kwenye magari ndio maana utaona karibu miaka mitatu watu wanajadili RR,LC 300 wakati watengenezaji magari wanatoa vyuma vipya kila kukicha..Kiufupi mkuu LC ni gari ngumu na yenye torquet kubwa kuliko RR.
Pia nadhani unajua engine za toyota zinaongoza kuwa na maisha marefu.
Pia engine ya LC300 ina nguvu sana hususan kwenye OFF ROAD.
Bro mie nasepa na LC300 kiuhakika.
Sawa bro upo sahihi ila maintanance ya Toyota na Range rover hazifanani kamwe.Watanzania tinapenda uniform ndio maana wengi wanataka kuendesha gati kama ya mbunge ila hakuna gari zisizoharibika hizo engine ngumu unazosema ndio tunazibeba kuja kuuza Tanzania gari zote zinahiraji matunzo sahihi na pia home hakuna chaguzi kubwa kwenye magari ndio maana utaona karibu miaka mitatu watu wanajadili RR,LC 300 wakati watengenezaji magari wanatoa vyuma vipya kila kukicha..
Tra wametudumaza sana kwenye magari tuyaone ni anasa..
Naona unaji kakia mwenyewe😂Kaka kasema ukweli
Kwenye LC 300 au 200 haipo 1HZ mimi nina 200 Ina Engine ya 1VD imekufa nilitaka kuitengeneza kabla sijasafiri nikiwa Tanzania jamaa mpemba anaeuza hizo Engine alitaka 45m nilikua na 40m alisema hapigi simu na kweli hiyo engine nimekuja kuipata SA kwa kununua gari lote lenye 1Vd engine nafungua navyovitaka nabeba bodi nauza hapa hapa...Sawa bro upo sahihi ila maintanance ya Toyota na Range rover hazifanani kamwe.
Maintanance ya toyota ni cheap.
Pia tuwe wakweli land cruiser ina engine ngumu sana za 1Hz.
Hii mashine ni balaa niliwahi kuwa na Ford Ranger ya 2023 mwaka jana maeneo ya Pahalapye,Botswana jamaa wawili walinipita na hizo chuma walikua nao wanaelekea daslm wale wale jamaa walinipita kama upepo na gari yangu dashboard inasoma speed 180km/h walinipita kama vile nimepaki gari wao walivuka mapema kazungula sijui hata kama walilala sehemu mpaka kufika Tunduma maana sikuwakuta nilisikia tu wamevuka..