Random thoughts

[ QUOTE=The Finest;1982250]Hahahaha!!!!!

Kama alivysoema klorokwin uswahili banaa ishu kama hizo kwa sana tu, ndio yale yale maisha yako yakibadilika wanaanza "Ohoo kwani ulikuwa haujui anauza unga yule" mtu wala hakujui ameisha conclude tayari.[/QUOTE]Hahhaha
Ahhh yule jamaa hampendi wala nini...anajipndekeza tu!!
Mtu mwenyewe nguo ya mtumba ndo anajiona nayo!!
Aise ngoja nifanye mpango wa kuhama huku uswahilini kama Kloro alivyonishauri!!
 
Aah kama kuna sijui raisi wa masharobaro…sijui raisi wa wasafi…..sijui raisi wa nini nini……na sisi wabeba maboksi je? Nikaonelea hakuna ubaya kuwawakilisha kina wenzangu na miye istahilivyo.
mkuu wafanyie mpango wa viza ze finest na uporoto basi, jamaa wamepigika mbaya sana na vumbi la Manzese, maisha yanaweza yakasababisha jamaa wakakanusha uwepo wa Mungu.
 
Mii naangukia kwenye kundi la kupigwa madongo. Hujaambiwa bado ukae mbali na mimi?

Mmh kwanini wanakupiga madongo???!Jichunguze labda kiatu chako kinang‘aa sana upunguze kiwi!!!
Bado sijaambiwa...ngoja nianze na mimi kukudongea!
 
Mmh kwanini wanakupiga madongo???!Jichunguze labda kiatu chako kinang‘aa sana upunguze kiwi!!!
Bado sijaambiwa...ngoja nianze na mimi kukudongea!

Mchunguzi anajichunguzaje vile?
 
Mchunguzi anajichunguzaje vile?

Simple....simama mbele ya kioo alafu ujiangalie juu mpaka chini huku ukitafakari unachokiona critically!!Mwisho jiangalie machoni......utajua tu kama umezidi kwa mbwembwe au roho zao mbaya tu zinawasumbua!!
 
Ni roho zao tu ndo zenye kutu.
 
i dont like you na sina haja ya kuingia na ID nyengine na kusema haya kama unavyofanya......

Babygal....you don't have to foam at mouth for naught like you are right now. We don't know each other. Just be good and be easy on yourself. Okay?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom